mtu mweusi ni kiumbe cha ajabu zaidi duniani. ukimtendea wema atakulipa ushenzi. kumfanyia hisani mtu mweusi ni sawa na kucheza kamari.Mdada tulikua tunaishi nae vizuri tu tunacheka tunapiga story kama ndugu washkaji .ila kuna vitu vilimshinda (mtoto n special case)...ila km ameshindwa yy angeondoka tu asiguse kitu cha mtu ingekua vizuri zaidi
Ngoja invute subira labda atapatikana,Huyu itakua kuna mtu amemwambia afanye alichokifanya,
Kuna mdau amesema huyo hayupo mbali,hii ina make sense,ulizia wana wa kitaa watakua wanajua tu,
waahidi kua utawapa hela,watampata tu au kukupa info zitakazokusaidia,
Anzia na bodaboda kisha wauza chipsi au Duka la mangi hapo kitaani,anaweza kukwambia kua amepanda Basi ili kukupoteza tu,huyo hayupo mbali kwasasa.
Ni hatari sema tu ndo hvyo na km hajaenda mbali tutakasikia tu maana si habaHaka katoto kakipata mtu akakaoa kisha akaka spoil katakuwa hatari sanaaa yani
Yan huyu binti alikua na cm lkn haikuwa na line kwahyo cm alikua anatumia ya hapa home kuwasiliana n hko kwao,hakua na Tabia ya kutembea tembea akitumea sehemu dakika sifuri kesharejea,hakuwa n mazoea na wanaume wala majirani kwanza alikua hajibu Salam za wanaume wanaomsumbua,Huyu itakua kuna mtu amemwambia afanye alichokifanya,
Kuna mdau amesema huyo hayupo mbali,hii ina make sense,ulizia wana wa kitaa watakua wanajua tu,
waahidi kua utawapa hela,watampata tu au kukupa info zitakazokusaidia,
Anzia na bodaboda kisha wauza chipsi au Duka la mangi hapo kitaani,anaweza kukwambia kua amepanda Basi ili kukupoteza tu,huyo hayupo mbali kwasasa.
Napajua kwa maelekezo tuKwao ulikua unapajua kabla?
Ashe ngarai e papaNariku ngera, pole lepalai.
Mkuu umepaniki baada ya kuona Papuchi ya bure imeondoka.Habari wanajamvi
Naombeni msaada kuna mdada wa kazi nlikua naishi nae hapa nyumbani ametoroka usiku,na kaondoka na begi la ndugu yangu
Katokea ifakara kyelekea morogoro mjini
Minayo mkuu nshakucheki watsupKama unataarifa yake yoyote mfano picha,viatu nguo na saa.
Chukua namba hapo profile ntakusaidia chakufanya.
Sijui hata nlikua nmechanganyikiwaSa
Sasa mtu wa msamvu akusaidiaje..?
Asimamishe magari yote kumsaka mfanyakazi wako..?
Excuse me sio kila mtu anaweza papuchi,maisha yenyewe haya hisia znatokea wapMkuu umepaniki baada ya kuona Papuchi ya bure imeondoka.
Teng'ena akeye, peyee mekipuri.Minayo mkuu nshakucheki watsup
Aisee!!Taphala sie atanaure piii,eyawa orkaraha pookini.maata hata orkraha obo
ππππππ oyaaa hii ni sababu moja wapo ya kumtafuta au sioNi hatari sema tu ndo hvyo na km hajaenda mbali tutakasikia tu maana si haba
Wala hata m mahitaji vitu vyangu muhimu ambavyo siwezi kupata popote paleππππππ oyaaa hii ni sababu moja wapo ya kumtafuta au sio
Hapana amechukua vitu vyangu muhimuππππππ oyaaa hii ni sababu moja wapo ya kumtafuta au sio
Wou siye pm. MairoroTaphala sie atanaure piii,eyawa orkaraha pookini.maata hata orkraha obo