Msaada wa haraka unahitajika

Msaada wa haraka unahitajika

Mdada tulikua tunaishi nae vizuri tu tunacheka tunapiga story kama ndugu washkaji .ila kuna vitu vilimshinda (mtoto n special case)...ila km ameshindwa yy angeondoka tu asiguse kitu cha mtu ingekua vizuri zaidi
mtu mweusi ni kiumbe cha ajabu zaidi duniani. ukimtendea wema atakulipa ushenzi. kumfanyia hisani mtu mweusi ni sawa na kucheza kamari.
huna ndugu zake unawajua? ulimchukua kienyeji?
 
Pole sana mkuu. Ushauri: Kama vitu vilivyoibwa au kuchukuliwa unaweza kuvipata, potezea tu uishi kwa amani. Utajisumbua sana kuvipata na utaingia gharama zisio na maana.

Kwa ninavyoamini, mtu hawezi kutoka Dar akaenda Ifakara, uyu yupo mjini hapa hapa.

Kuna jirani au bodaboda anakuchezea akili.
 
Huyu itakua kuna mtu amemwambia afanye alichokifanya,
Kuna mdau amesema huyo hayupo mbali,hii ina make sense,ulizia wana wa kitaa watakua wanajua tu,
waahidi kua utawapa hela,watampata tu au kukupa info zitakazokusaidia,
Anzia na bodaboda kisha wauza chipsi au Duka la mangi hapo kitaani,anaweza kukwambia kua amepanda Basi ili kukupoteza tu,huyo hayupo mbali kwasasa.
Ngoja invute subira labda atapatikana,
 
Huyu itakua kuna mtu amemwambia afanye alichokifanya,
Kuna mdau amesema huyo hayupo mbali,hii ina make sense,ulizia wana wa kitaa watakua wanajua tu,
waahidi kua utawapa hela,watampata tu au kukupa info zitakazokusaidia,
Anzia na bodaboda kisha wauza chipsi au Duka la mangi hapo kitaani,anaweza kukwambia kua amepanda Basi ili kukupoteza tu,huyo hayupo mbali kwasasa.
Yan huyu binti alikua na cm lkn haikuwa na line kwahyo cm alikua anatumia ya hapa home kuwasiliana n hko kwao,hakua na Tabia ya kutembea tembea akitumea sehemu dakika sifuri kesharejea,hakuwa n mazoea na wanaume wala majirani kwanza alikua hajibu Salam za wanaume wanaomsumbua,
Jana jioni ndo mara ya kwanza kumuona anachati kupitia simu yake na asubuhi katoweka
 
Habari wanajamvi
Naombeni msaada kuna mdada wa kazi nlikua naishi nae hapa nyumbani ametoroka usiku,na kaondoka na begi la ndugu yangu
Katokea ifakara kyelekea morogoro mjini
Mkuu umepaniki baada ya kuona Papuchi ya bure imeondoka.
 
Pole sana mkuu.
Huyo hajaenda mbali sana na kwako.
Inawezekana saiv amekumbatiwa na tapeli kwa leo au mme wake wa kesho.

Kunamdau kashauri ucheck na boda. Huwa wanajua issue nyingi sana hao watu. Usipuuze
 
Asante mkuu,tushacheki nao ndo wa kwanza kabla hatujaenda police hope watatupa taarifa akipatkana
 
Back
Top Bottom