Msaada wa hii alert katika Land Rover discovery 3

Msaada wa hii alert katika Land Rover discovery 3

Discovery zote za mwingereza ikifikisha miles 100k lazima abadilishe engine na gear box Kwa pamoja. Bila hivyo hakuna rangi ataacha kuziona
Gari zote ikifika kilomita laki moja zinafanyiwa service kubwa huko zinakotoka , nadhani ni matakwa ya kisheria, gari ya kilomita 110,000 ni bora kununua kuliko yenye kilomita 90,000
 
Thanks for clarification mkuu. Nilianza kupata hofu
Ikikupendeza nunua diagnostic machine kwa ajili ya matumizi yako binafsi.

Kukiwa na shida Uta-scan kama kuna faulty utatumia hiyo code kufahamu tatizo ni nini alafu unakwenda kwa fundi unamwambia rekebisha kitu fulani.
 
Back
Top Bottom