Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
Dunia KijijiThanks
But inamaanisha nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dunia KijijiThanks
But inamaanisha nini
Endesha gari hiyo acha ujingaHio haina shida we endesha tu
Gari zote ikifika kilomita laki moja zinafanyiwa service kubwa huko zinakotoka , nadhani ni matakwa ya kisheria, gari ya kilomita 110,000 ni bora kununua kuliko yenye kilomita 90,000Discovery zote za mwingereza ikifikisha miles 100k lazima abadilishe engine na gear box Kwa pamoja. Bila hivyo hakuna rangi ataacha kuziona
Na ununue kwenye vituo vyao vya mafuta(filling station) na sio kwenye madukaThanks mkuu
Uzuri dashboard inaongea
Ni diesel
Now Nilikuwa natumia puma tu
Ikikupendeza nunua diagnostic machine kwa ajili ya matumizi yako binafsi.Thanks for clarification mkuu. Nilianza kupata hofu