Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,717
hiyo #3 mkuu....kwangu ni tango pori...
ngoja niendelee kusoma kwa wachangiaji wanaofuata....[emoji45] [emoji45]
Soma Nyaraka za Mtume Paulo, mara kadhaa anamuita Yesu "Mzaliwa wa kwanza"..hiyo ni tafsiri yako au ya bibilia mkuu....[emoji45] [emoji45]???.. ....
Kwanini biblia ifanywe ngumu kiasi ambacho mpaka upate mafundisho ya waaminio? Kwani Mungu hataki tukaifahamu? Mie kwa upande wangu naona maandiko yako wazi wala hauhitaji mtu akupe ufafanuzi. Vipi kama huyo anaekufa ufafanuzi kakosea? Huoni kua anapotosha wengi?nooo jaribu kuitafakar biblia na husiisome ka magazet, pitia na mafundisho ya waaminio, utanielewa
Kwani kwa mujibu wa bibilia ni nani binadamu wa kwanza?Ndio kitu cha pili kuexist baada ya Mungu! Au kwa lugha nyepesi isiyo rasmi twaweza kusema Mungu alimuumba kwanza kabla ya vitu vingine vyote ndio maana anaitwa "Mzaliwa wa Kwanza" wa viumbe vyote..
Okay naomba niulize kwa vipengele kutokana na majibu yako.Yeye ndie mwana wa Mungu,
Jaffar, unamaanisha huwez kufanya kazi aliyokutuma baba yako, ok unadhani unashindwa kusimama kama baba yako kwa mambo mbali mbali ya mzee wako?
Tukisema mwana wa Mungu unapata ufahamu upi? Hivi mtoto wa mbwa ni paka eti,au? Ufahamu na fikra ndio tatizo KUBWA. YESU hasingeweza kusurubiwa pamoja na nguvu ya kiungu, ndio maana alilia msalabani akimwambia mungu mbona umeniacha juu ya msalaba alikuwa binadam totally hadi kufa na kuzikwa , baada ya kufufuka alikuwa si mwanadamu tena japo nyie watoto wa mamdogo hamuamin hivo na si kwa IMAN ya kwel bali ya kupandikizwa
KwanzaKwa harakaharaka
Catholic - Wanaamini katika Trinity(Mungu = Baba +Mwana(Yesu) + Roho Mtakatifu) - Yesu ni Mungu
Wasabato - Wanaamini katika Trinity(Mungu = Baba +Mwana(Yesu) + Roho Mtakatifu) - Yesu ni Mungu
Jehovah Witness - Yesu sio Mungu na kusema Yesu ni Mungu ni kama unakufuru kwao
Wafuasi wa yesu wengine/Walokole/waprotestants baadhi;
1:Yesu ni Mungu huyohuyo katika Utendaji tofauti
2:Wengine Mungu ni Roho na kwa uwezo wake anaweza kuexist katika form mbalimbali kulingana na anavyohitaji
MAONI YANGU.
Yesu ni Mungu lakini kwa anayeamini bibilia nzima iko sahihi na kila neno la kwenye bibilia liliandikwa kwa Uongozi wa Roho mtakatifu na sio mawazo ya watu, Kwa sababu Sifa zote za Mungu Amepewa Yesu katika bibilia. Mchanganyiko utakuja katika kumchambua ni Mungu katika Mfumo upi. Ila aliitwa Imanuel yaani Mungu pamoja na Wanadamu.
Mchanganyiko mwingine unakuja Anapozaliwa katika umbile la wanadamu hiyo sayansi ndio kwa finite mind zetu inashindwa kuingia akilini mwa wengi sio sisi tu hata wale Mafarisayo hawakumuelewa alipwaambia kuwa Alikuwepo kabla haya baba yao Ibrahimu Ajazaliwa. Wkataka kumponda mawe maana upeo wao ulikuwa ni kuwa yesu mwana wa Yusufu na Mariam na sio Aliyekuwepo hata kabla ya kuwekwa misingi ya Ulimwengu.
Nakubali changamoto katika maoni yangu
Habari wana JF. naomba kufahamishwa kuhusu Yesu Mtoto wa Mariam. Je Imani ya Wasabato, Waroma na Madhehebu mengine wanamchukulia kama Nani? Je ni Mungu? Mwana wa Mungu ama Mtume wa Mungu? Asanteni.
Mtume paulo? Nani kampa Paulo utume?Soma Nyaraka za Mtume Paulo, mara kadhaa anamuita Yesu "Mzaliwa wa kwanza"..
Anda mimi sifungamani na dini yoyote, ila naamini katika Mungu na namshukuru walau nazijua dini zote hizi kwa sehemu
JESUS also said my Father is greater than i. so i dont think you are right to make equal and greater the same thing!John 5:16-18 So, because Jesus was doing these things on the Sabbath, the Jewish leaders began to persecute him. In his defense Jesus said to them, “My Father is always at his work to this very day, and I too am working.” For this reason they tried all the more to kill him; not only was he breaking the Sabbath, but he was even calling God his own Father, making himself equal with God.
JESUS also said my Father is greater than i. so i dont think you are right to make equal and greater the same thing!
Binadamu wa kwanza ni Adam lakini sio kiumbe cha kwanza.! Hata wanyama walikuwa wameshaumbwa kabla ya Adam..Kwani kwa mujibu wa bibilia ni nani binadamu wa kwanza?
Sijihusishagi na huu ubishi wa kitoto, yawezekana unahisi mimi mi mgalatia lakini nimekwisha kueleza mimi sifungamani na dini yoyote lakini naamini katika Mungu.!Mtume paulo? Nani kampa Paulo utume?
Tutumie akili za vipi,ili tumjue Mungu ??Mungu ni Roho (Yohana 4:24)
Tunayajua mambo ya Mungu kwa kufunuliwa na Roho Mtakatifu (1Kor 2:10) "Lakini Mungu ametufunulia sisi kwa Roho. Maana Roho huchunguza yote, hata mafumbo ya Mungu". Hivyo basi usitegemee kuyajua mambo ya Mungu kama huna Roho Mtakatifu.
Tunafundishwa yote na Roho Mtakatifu: " Lakini huyo Msaidizi, huyo Roho Mtakatifu, ambaye Baba atampeleka kwa jina langu, atawafundisha yote na kuwakumbusha yote niliyowaambia" (Yohana 14:26)
UKIMPOKEA YESU KUWA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YAKO NDIPO ROHO MTAKATIFU ANAPOINGIA NDANI YAKO NA KUKUONESHA NA KUKUFUNDISHA MAMBO YOTE YA KIMUNGU.
Kamwe usidhani waweza kumfahamu Mungu kwa kuzitegemea akili zako za kawaida! Kamwe! Kamwe!
Looks like you dont read your own bible. Here we goGive the the scripture were he said that..facts
Kuamini kuna Mungu tayari ni dini. Sasa huwezi sema hufungamani na dini yoyote. Hivi nikikupa maneno ya paulo na maneno ya Yesu yapi utayafata na kuyaamini?Sijihusishagi na huu ubishi wa kitoto, yawezekana unahisi mimi mi mgalatia lakini nimekwisha kueleza mimi sifungamani na dini yoyote lakini naamini katika Mungu.!
Unajua utume unapatikana vipi kwa mujibu wa biblia??
Nashukuru kufahamu kua Yesu aliumbwa!! Aliumbwa na nani ndio swaliBinadamu wa kwanza ni Adam lakini sio kiumbe cha kwanza.! Hata wanyama walikuwa wameshaumbwa kabla ya Adam..
Pia Mungu Baba, Mwana na Roho Mtakatifu walikuwa wapo tayari kabla ya adamu.! Rejea Genesis 1
Ni Yesu yupi aliumbwa?Nashukuru kufahamu kua Yesu aliumbwa!! Aliumbwa na nani ndio swali
Kwani huyo muhamad nani alimpa utume????Mtume paulo? Nani kampa Paulo utume?
umependeza Sana wallahKwa mujibu wa biblia;
1. Yesu ni Mungu
Soma Yohana 1
2. Yesu ni moja ya Nafsi tatu za Mungu (Mwana) nafsi nyingine ni Roho na Baba.
3. Yesu ni Mzaliwa wa Kwanza wa Viumbe vyote.
4. Yesu ni "Kuhani Mkuu" katika hekalu la kiroho mbinguni (Melkizedeki).
Soma kitabu cha Waebrania
5. Yesu ni Nabii (alipokuwa katika mwili alifanya kazi za kinabii)
Kwa mujibu wa Biblia sio mimi, binafsi nakubaliana na baadhi na napingana na baadhi.!