Haya kaja wa kirukia treni kwa mbele [emoji23] [emoji23] [emoji23] vipi kaka wanaume tunaongea nawe umetokea wapi? Jibu swali halafu ukishajibu nami ntakujibu. Nina maana kubwa kuuliza swali hilo maana mambo mengi aliyokua akisema paulo yanapingana na kauli za Yesu mwenyewe. Kama unalo jibu leta. Kama hauna nendo kwenye jukwaa jipya linaitwa taarabu special.Kwani huyo muhamad nani alimpa utume????
Wewe mbona unarusha mawe umesahau nyumba unayoishi ni ya vioo???
ni malezi ndio yamekufanya usifungamane na upande wowote wa kidini...??..au ni utashi wako baada ya kusoma maandiko mbalimbali.....kuhusu dini....??..Soma Nyaraka za Mtume Paulo, mara kadhaa anamuita Yesu "Mzaliwa wa kwanza"..
Anda mimi sifungamani na dini yoyote, ila naamini katika Mungu na namshukuru walau nazijua dini zote hizi kwa sehemu
ni malezi ndio yamekufanya usifungamane na upande wowote wa kidini...??..au ni utashi wako baada ya kusoma maandiko mbalimbali.....kuhusu dini....??..Soma Nyaraka za Mtume Paulo, mara kadhaa anamuita Yesu "Mzaliwa wa kwanza"..
Anda mimi sifungamani na dini yoyote, ila naamini katika Mungu na namshukuru walau nazijua dini zote hizi kwa sehemu
Haya kaja wa kirukia treni kwa mbele [emoji23] [emoji23] [emoji23] vipi kaka wanaume tunaongea nawe umetokea wapi? Jibu swali halafu ukishajibu nami ntakujibu. Nina maana kubwa kuuliza swali hilo maana mambo mengi aliyokua akisema paulo yanapingana na kauli za Yesu mwenyewe. Kama unalo jibu leta. Kama hauna nendo kwenye jukwaa jipya linaitwa taarabu special.
Cheki huyu naye.wewe kweli rofa.Biblia ni kama vitabu vya Alflera Ulela.Ni simulizi za waebrania na wayunani.Na kwao mambo hayo hayaongelewi tena.Tumieni akili.Yesu alikuwa mjanja tu
nimekupa maelezo ambayo ni conditional ili uyakubali inabidi uamini bibilia yote. Sasa kama huamini uwepo wa roho mtakatifu na kuongozwa kwa waandishi kama kitabu chenye we kinavyoshauri basi hilo jibu haikufai na unakoswa uhalali wa kujibiwa na wakristo jibu utalipa vzr upande wa pili ambapo hawaamini hayo.Kwanza
nasikitika sana kukwambia biblia haikuongozwa na roho mtakatifu. Ukibisha ntakupa ushahidi.
Pili
Hivi kama nikikupa miungu wawili. Halafu mmoja katika miungu hiyo akasema kwamba mwenzie ndio mkuu kuliko yeye. Hapo utamwamini Mungu yupi katika hao wawili?
Nililivyoona ilo neno dini ni option umenikumbusha shule kuna maswali mengine katika mtihani yalikuwa kujibu ni options, du! yaani dini ni options asalaleeee!! tembea duniani uone vichwa vibovu, yaani kuna watu duniani wametoka from no where.Kuna jambo moja tu ninaloliona mimi... Dini ni hiari sio lazima (religion is an option).
Sababu za kuamini Yesu ni Mungu ni zipi????
Kati ya waandishi na maneno thabiti ya Yesu wewe utafata kipi? Yaani kwa mfano Yesu alisemanimekupa maelezo ambayo ni conditional ili uyakubali inabidi uamini bibilia yote. Sasa kama huamini uwepo wa roho mtakatifu na kuongozwa kwa waandishi kama kitabu chenye we kinavyoshauri basi hilo jibu haikufai na unakoswa uhalali wa kujibiwa na wakristo jibu utalipa vzr upande wa pili ambapo hawaamini hayo.
Swali la pili linakufa rasmi kwa mtu anayeuliza maswali ya kitu asichokiamini. Inabidi uanzie kuhoji uhalali wa maneno ya bibilia kabla hawauliza swali lako.
Nimeshapata wasiwasi naweza kua najadili mada na Mwanamke. Maana uelewa wako ni mdogo sana. Nimekuuliza swali hutaki kulijibu unababaja babaja manenilo tu.Hivi mwanaume huwa anajitambilisha.
Au huna uhakika[emoji45]
Unataka uujue utume wa paulo, wa muhamad unaujua ulikotoka??? Au unacheza tu sebene??
Huku kote kwa mtazamo wangu unapoteza muda.Kati ya waandishi na maneno thabiti ya Yesu wewe utafata kipi? Yaani kwa mfano Yesu alisema
baba hatobeba mzigo wa Mwana na wala mwana hatobeba mzigo wa baba. Kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe
Halafu paulo akaleta mambo kinyume kabisa na Yesu. Yeye akasema amini yesu alikufa ili ufutiwe dhambi zako.
Wewe hapo utaamini maneno ya nani?
Kibinadamu haiwezekani. Lakini kwake Mungu inawezekana.Yani mungu kaumba vyote ivyo kwa ajili ya mwanae alafu akubali apigwe misumari na kuwekwa uchi hadharani. .....Ebu stuka kidogo bhana.
Hahahahaha!Mwisho wa siku ni kutafutana matukano yaso na maana yoyote!kila mmoja abaki na imani yake hivi mnashindwa nini?imani ya kweli ni kutoa misaada kwa wasiojeweza,kuna watu Kagela wanalala nje huko ndiko pakupatia pepo badala muende huko mnakuja kujaza server humu JF.mnaulizana mambo ya Mungu ilhal wengine ni wasengenyaji,wazinzi wafitinishaji kwanini huo mda mnaopoteza kubishana humu msiutumie kutubu dhambi zenu kwa Mungu mnaemwamini ktk imani zenu?
Yesu ni mzaliwa wa kwanza wa VIUMBE wote.....maana yake akina Manabii Musa (Moses) Ibrahim (Abraham) nabii Nuhu (Noah) ama Mfalme Suleiman (King Solomon) na wengine kama Bi Mariam (Maria)...unamaanisha wote hawa Nabii Issa (a.s.w) Yesu alitangulia kuzaliwa kabla yao...!!?Kwa mujibu wa biblia;
1. Yesu ni Mungu
Soma Yohana 1
2. Yesu ni moja ya Nafsi tatu za Mungu (Mwana) nafsi nyingine ni Roho na Baba.
3. Yesu ni Mzaliwa wa Kwanza wa Viumbe vyote.
4. Yesu ni "Kuhani Mkuu" katika hekalu la kiroho mbinguni (Melkizedeki).
Soma kitabu cha Waebrania
5. Yesu ni Nabii (alipokuwa katika mwili alifanya kazi za kinabii)
Kwa mujibu wa Biblia sio mimi, binafsi nakubaliana na baadhi na napingana na baadhi.!
Ohh labda sijaelewa vizuri. Kwa hiyo wewe unaamini Yesu ni Mungu alietumwa na Mungu?
Wee mchukulie hivyo hivyo maana hauwezi kumwelewa hata ukieleweshwa.mchukulie vyovyote utakavyo kwa sasa maana hakuhusu.siku ya kukuhusu atajidhihirisha kwako kama au zaidi ya Sauli.usitutafutie lawama bure!Habari wana JF. naomba kufahamishwa kuhusu Yesu Mtoto wa Mariam. Je Imani ya Wasabato, Waroma na Madhehebu mengine wanamchukulia kama Nani? Je ni Mungu? Mwana wa Mungu ama Mtume wa Mungu? Asanteni.
Nimesoma na Kuzifahamu dini nyingi na kujikuta nimekuwa na makhaba nazo zote..ni malezi ndio yamekufanya usifungamane na upande wowote wa kidini...??..au ni utashi wako baada ya kusoma maandiko mbalimbali.....kuhusu dini....??..
Unavyoniona mimi nina kichwa kibovu ndivyo ninavyokuona wewe....Nililivyoona ilo neno dini ni option umenikumbusha shule kuna maswali mengine katika mtihani yalikuwa kujibu ni options, du! yaani dini ni options asalaleeee!! tembea duniani uone vichwa vibovu, yaani kuna watu duniani wametoka from no where.