Msaada wa Imani

Msaada wa Imani

Biblia ni kama vitabu vya Alflera Ulela.Ni simulizi za waebrania na wayunani.Na kwao mambo hayo hayaongelewi tena.Tumieni akili.Yesu alikuwa mjanja tu
 
Kwani huyo muhamad nani alimpa utume????

Wewe mbona unarusha mawe umesahau nyumba unayoishi ni ya vioo???
Haya kaja wa kirukia treni kwa mbele [emoji23] [emoji23] [emoji23] vipi kaka wanaume tunaongea nawe umetokea wapi? Jibu swali halafu ukishajibu nami ntakujibu. Nina maana kubwa kuuliza swali hilo maana mambo mengi aliyokua akisema paulo yanapingana na kauli za Yesu mwenyewe. Kama unalo jibu leta. Kama hauna nendo kwenye jukwaa jipya linaitwa taarabu special.
 
Soma Nyaraka za Mtume Paulo, mara kadhaa anamuita Yesu "Mzaliwa wa kwanza"..

Anda mimi sifungamani na dini yoyote, ila naamini katika Mungu na namshukuru walau nazijua dini zote hizi kwa sehemu
ni malezi ndio yamekufanya usifungamane na upande wowote wa kidini...??..au ni utashi wako baada ya kusoma maandiko mbalimbali.....kuhusu dini....??..
 
Hivi mwanaume huwa anajitambilisha.

Au huna uhakika[emoji45]

Unataka uujue utume wa paulo, wa muhamad unaujua ulikotoka??? Au unacheza tu sebene??
 
Biblia ni kama vitabu vya Alflera Ulela.Ni simulizi za waebrania na wayunani.Na kwao mambo hayo hayaongelewi tena.Tumieni akili.Yesu alikuwa mjanja tu
Cheki huyu naye.wewe kweli rofa.

Ila hadithi tamu kuliko zote ni kukabws na mapepo pangoni, uliishasimuliwa hii???
 
Kwanza
nasikitika sana kukwambia biblia haikuongozwa na roho mtakatifu. Ukibisha ntakupa ushahidi.
Pili
Hivi kama nikikupa miungu wawili. Halafu mmoja katika miungu hiyo akasema kwamba mwenzie ndio mkuu kuliko yeye. Hapo utamwamini Mungu yupi katika hao wawili?
nimekupa maelezo ambayo ni conditional ili uyakubali inabidi uamini bibilia yote. Sasa kama huamini uwepo wa roho mtakatifu na kuongozwa kwa waandishi kama kitabu chenye we kinavyoshauri basi hilo jibu haikufai na unakoswa uhalali wa kujibiwa na wakristo jibu utalipa vzr upande wa pili ambapo hawaamini hayo.

Swali la pili linakufa rasmi kwa mtu anayeuliza maswali ya kitu asichokiamini. Inabidi uanzie kuhoji uhalali wa maneno ya bibilia kabla hawauliza swali lako.
 
Kuna jambo moja tu ninaloliona mimi... Dini ni hiari sio lazima (religion is an option).
Sababu za kuamini Yesu ni Mungu ni zipi????
Nililivyoona ilo neno dini ni option umenikumbusha shule kuna maswali mengine katika mtihani yalikuwa kujibu ni options, du! yaani dini ni options asalaleeee!! tembea duniani uone vichwa vibovu, yaani kuna watu duniani wametoka from no where.
 
nimekupa maelezo ambayo ni conditional ili uyakubali inabidi uamini bibilia yote. Sasa kama huamini uwepo wa roho mtakatifu na kuongozwa kwa waandishi kama kitabu chenye we kinavyoshauri basi hilo jibu haikufai na unakoswa uhalali wa kujibiwa na wakristo jibu utalipa vzr upande wa pili ambapo hawaamini hayo.

Swali la pili linakufa rasmi kwa mtu anayeuliza maswali ya kitu asichokiamini. Inabidi uanzie kuhoji uhalali wa maneno ya bibilia kabla hawauliza swali lako.
Kati ya waandishi na maneno thabiti ya Yesu wewe utafata kipi? Yaani kwa mfano Yesu alisema
baba hatobeba mzigo wa Mwana na wala mwana hatobeba mzigo wa baba. Kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe

Halafu paulo akaleta mambo kinyume kabisa na Yesu. Yeye akasema amini yesu alikufa ili ufutiwe dhambi zako.

Wewe hapo utaamini maneno ya nani?
 
Hivi mwanaume huwa anajitambilisha.

Au huna uhakika[emoji45]

Unataka uujue utume wa paulo, wa muhamad unaujua ulikotoka??? Au unacheza tu sebene??
Nimeshapata wasiwasi naweza kua najadili mada na Mwanamke. Maana uelewa wako ni mdogo sana. Nimekuuliza swali hutaki kulijibu unababaja babaja manenilo tu.

Ndio maana inabidi nilete neno kutoka kwa 1. wakorinto mlango wa 14

34 Wanawake na wanyamaze katika kanisa, maana hawana ruhusa kunena bali watii, kama vile inenavyo torati nayo.
35 Nao wakitaka kujifunza neno lo lote, na wawaulize waume zao wenyewe nyumbani mwao; maana ni aibu wanawake kunena katika kanisa.

Nadhani maandiko hayo yanayofanana na jina lako yanahusu watu kama wewe.[emoji23] [emoji23]
 
  • Thanks
Reactions: SIM
Kati ya waandishi na maneno thabiti ya Yesu wewe utafata kipi? Yaani kwa mfano Yesu alisema
baba hatobeba mzigo wa Mwana na wala mwana hatobeba mzigo wa baba. Kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe

Halafu paulo akaleta mambo kinyume kabisa na Yesu. Yeye akasema amini yesu alikufa ili ufutiwe dhambi zako.

Wewe hapo utaamini maneno ya nani?
Huku kote kwa mtazamo wangu unapoteza muda.
Ili upate unachotaka kwenye thread yako nadhani unapaswa kuweka hints ya unaamini nini ktk bibilia, huamini nini ili anayejibu ajue unashida gani maana kwa ufupi unauliza swali huku kichwani ukiwa umeweka hazina ya upinzani wa source zinazoweza kukupa jibu la unachotaka.

Ndio maana nimekushauri Uweke nyama kweny swali lako. Umeuliza imani za watu au unataka kupambanisha imani za uliouliza na imani yako juu ya bibilia.

Wewe muuliza swali utuwekee unaamini nini ndani ya bibilia ili kupitia list ya unavyoamini ujibiwe au useme huamini yote ili mada ijikite kukuaminisha kwanza ili ujibiwe baada ya kuamini. Na kama shida yako sio imani ya wanaoamini bibilia iliyovuviwa basi hueleweki Unachokitaka.
 
Yani mungu kaumba vyote ivyo kwa ajili ya mwanae alafu akubali apigwe misumari na kuwekwa uchi hadharani. .....Ebu stuka kidogo bhana.
Kibinadamu haiwezekani. Lakini kwake Mungu inawezekana.
 
Mwisho wa siku ni kutafutana matukano yaso na maana yoyote!kila mmoja abaki na imani yake hivi mnashindwa nini?imani ya kweli ni kutoa misaada kwa wasiojeweza,kuna watu Kagela wanalala nje huko ndiko pakupatia pepo badala muende huko mnakuja kujaza server humu JF.mnaulizana mambo ya Mungu ilhal wengine ni wasengenyaji,wazinzi wafitinishaji kwanini huo mda mnaopoteza kubishana humu msiutumie kutubu dhambi zenu kwa Mungu mnaemwamini ktk imani zenu?
Hahahahaha!
 
Kwa mujibu wa biblia;

1. Yesu ni Mungu
Soma Yohana 1

2. Yesu ni moja ya Nafsi tatu za Mungu (Mwana) nafsi nyingine ni Roho na Baba.

3. Yesu ni Mzaliwa wa Kwanza wa Viumbe vyote.

4. Yesu ni "Kuhani Mkuu" katika hekalu la kiroho mbinguni (Melkizedeki).
Soma kitabu cha Waebrania

5. Yesu ni Nabii (alipokuwa katika mwili alifanya kazi za kinabii)

Kwa mujibu wa Biblia sio mimi, binafsi nakubaliana na baadhi na napingana na baadhi.!
Yesu ni mzaliwa wa kwanza wa VIUMBE wote.....maana yake akina Manabii Musa (Moses) Ibrahim (Abraham) nabii Nuhu (Noah) ama Mfalme Suleiman (King Solomon) na wengine kama Bi Mariam (Maria)...unamaanisha wote hawa Nabii Issa (a.s.w) Yesu alitangulia kuzaliwa kabla yao...!!?
 
Ohh labda sijaelewa vizuri. Kwa hiyo wewe unaamini Yesu ni Mungu alietumwa na Mungu?

Mkuu;
Unapotaka kumfikiri Mungu kinadharia inakuwa ngumu kuelewa. Neno moja fupi tu ni kuwa; Amini kwamba, Yesu ni Mungu. Yaani, baada ya mwanadam kuanguka, Mungu alitaka kumrudisha kwake. Aliyeumbwa kwa mfano wa Mungu. Kumbuka; Hakuumbwa mwingine yeyote kwa mfano na sura ya Mungu kama mwanadam.
Hivyo, akatakiwa, mwanadam kweli, amkomboe (amlipie) deni mwanadam. Mungu akasema, awepo wa kufanana na mwanadam amkomboe mwanadam. Kwa sababu; Dam ya mnyama haikusaidia ikatakiwa dam isio na hatia. Mungu, akalituma neno lake, likafanyika mwili (mtu) akaishi ka sisi, akajaribiwa ka sisi lakini hakutenda dhambi. (Yesu).
Mkuu, ni furaha kuamini hivyo kwani aliyeumba mbingu na nchi huwezi kumfaham kwa ubongo wako weye kwani nao aliuumba. Chukulia tu hivi; Aliyeumba hawezi lingana na aliyeumbwa.
Yesu ni Mungu kamili na mtu kamili.
 
Tatizo lako kuu ni UVIVU na uzembe kila jibu la swali lako lipo kwenye Bible huwezi isoma tulia acha papara

ANZA LEO KUISOMA UKIMALIZA SOMA TENA NATENA NATENA usipende kutafuniwa kila kitu
 
Habari wana JF. naomba kufahamishwa kuhusu Yesu Mtoto wa Mariam. Je Imani ya Wasabato, Waroma na Madhehebu mengine wanamchukulia kama Nani? Je ni Mungu? Mwana wa Mungu ama Mtume wa Mungu? Asanteni.
Wee mchukulie hivyo hivyo maana hauwezi kumwelewa hata ukieleweshwa.mchukulie vyovyote utakavyo kwa sasa maana hakuhusu.siku ya kukuhusu atajidhihirisha kwako kama au zaidi ya Sauli.usitutafutie lawama bure!
 
Yesu ni nabii tu Mungu kama ilivyokuwa na Manabii wengine waliokuwepo kabla yake kama Adam,Ibrahim,Mussa etc

Anaeamini kuwa Yesu ni Mungu huyo kuna kitu akipo sawa kwenye kichwa chake.

Yaani Mungu ashuke duniani atandikwe misumari alafu akubali tu?!
kwani alishindwa nini kuwatumia Manabii wengine au kuwaongoza akiwa huko huko alipokuwa?!
 
ni malezi ndio yamekufanya usifungamane na upande wowote wa kidini...??..au ni utashi wako baada ya kusoma maandiko mbalimbali.....kuhusu dini....??..
Nimesoma na Kuzifahamu dini nyingi na kujikuta nimekuwa na makhaba nazo zote..

Islam - naifahamu kwa mapana
Ukristo - I'm an expert
Buddhism - naifahamu kwa sehemu
Hindu - naifahamu kwa sehemu
Judaism - naifahamu kwa mapana
Scientology - naifahamu kwa mapana
Freemasonry - naifahamu kwa mapana (ingawa hii sio dini)

So kujibu swali lako, ni kwamba kwa nazifahamu kwa uzuri tu hizi dini, na nimejikuta nina makhaba nazo zote..
 
Nililivyoona ilo neno dini ni option umenikumbusha shule kuna maswali mengine katika mtihani yalikuwa kujibu ni options, du! yaani dini ni options asalaleeee!! tembea duniani uone vichwa vibovu, yaani kuna watu duniani wametoka from no where.
Unavyoniona mimi nina kichwa kibovu ndivyo ninavyokuona wewe....

Kaa ukijua dini si kigezo cha watu kuwa wema... [sihitaji complications za dini ili niweze kuishi kwa wema]

Kama wewe umeamua kuamini kwanin iwe ajabu mwengine kutokuamin??? (I think u understand kwamba every word has it opposite). Kwanin niamin kwamba Mungu alikuja duniani kibinadamu?? Just by finding it in the scripture...
 
Back
Top Bottom