Msaada wa Imani

Na wewe umejuaje???
 
Kwa mujibu wa Biblia - YES

Kwa mujibu wa Imani nyingine - HAPANA
 
Unauliza mambo hata hazina logic, lakini nyie wafuas wa kirumi huwa hammpendi YESU kwa gharama yoyote, nyie waarabu mlishapandikizwa chuki, ushajiuliza anti-christ ni kina Nan kama si Roman+ Arab or Muslim
 
inatosha nimekuelewa mkuu....
 
Unauliza swali.unaogopa majibu.

Vichwa vyote vilivyopita madrasa ni saizi ya watoto wa sunday school.
 
Kila moja abaki na anavyoamini. Imani ibaki kuwa imani,siyo sayansi.
 
Hilo deni la dhambi Mungu ambae nimuweza wa kila Jambo hawezi kulisamehe mpaka atoe kafara ya kifo na damu kwa mwanae? Ninavyojua mimi Mungu hata leo akiamua kutusamehe dhambi zetu anatusamehe tu. Hiyo kafara ya mpaka amuue mwanae kweli inaingia akilini? Yaani wewe uibe na ufanye uzinzi halafu badala ya kukusamehe niamue kumuua mtoto wangu? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] duh huyu atakua Mungu wa kafara sasa !!
 
Wee mchukulie hivyo hivyo maana hauwezi kumwelewa hata ukieleweshwa.mchukulie vyovyote utakavyo kwa sasa maana hakuhusu.siku ya kukuhusu atajidhihirisha kwako kama au zaidi ya Sauli.usitutafutie lawama bure!
Ohh kumbe hatutakiwi kufahamu? Tunatakiwa tusubirie tu?
 
Nasikitika kukwambia hujui kuhusu uislamu. Yeyote anaefahamu kuhusu uislamu basi hawezi hangaika na dini zingine.
 
Unauliza mambo hata hazina logic, lakini nyie wafuas wa kirumi huwa hammpendi YESU kwa gharama yoyote, nyie waarabu mlishapandikizwa chuki, ushajiuliza anti-christ ni kina Nan kama si Roman+ Arab or Muslim
Pole ndugu. Nikufunze Jambo ambalo ulikua hulifahamu. Waislamu tunampenda sana Yesu. Na Mambo mengi sana alioyafundisha Yesu sio ndio tunayafuata na kuyatekeleza .ukitaka ushahidi ntakupa.

Suala la uarabu halihusiani kabisa na dini ya kiislamu. Kuna warabu wengi tu ambao sio waislamu tena. Inaonesha unachuki binafsi na waarabu hivyo nakupa pole.

Tatu Anti-christ ni mpinga Yesu and so far mie naona wakristo wengi ndio mnaompinga Yesu maanq mnaenda kinyume kabisa na yote alioyafunza.

Sasa kama umeshindwa kujibu maswali niliyoyauliza ni bora ungekaa kimya tu kuliko kuongea vitu visivyo na maana yoyote.
 
Unauliza swali.unaogopa majibu.

Vichwa vyote vilivyopita madrasa ni saizi ya watoto wa sunday school.
Madrasa imetoka wapi tena humu? Au siku hizi inaitwa JF Madrasa? [emoji23] [emoji23] jibu maswali acha kelele
 
Habari wana JF. naomba kufahamishwa kuhusu Yesu Mtoto wa Mariam. Je Imani ya Wasabato, Waroma na Madhehebu mengine wanamchukulia kama Nani? Je ni Mungu? Mwana wa Mungu ama Mtume wa Mungu? Asanteni.
Muulize shekh kipoozeo au ustaadhi lipumba
 
Madrasa imetoka wapi tena humu? Au siku hizi inaitwa JF Madrasa? [emoji23] [emoji23] jibu maswali acha kelele
[emoji3] [emoji3] kelele unazisikiaje kwenye maandishi wewe???

Swali lako limajibiwa ila hutaki jibu unachagua kama mama mjamzito anachagua maembe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…