Msaada wa jinsi ya kutumiwa pesa na mtu akiwa nje kwa njia ya M-Pesa

NostradamusEstrademe

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2017
Posts
3,402
Reaction score
4,532
Nina ndugu yangu yuko Marekani anataka kunitumia pesa ila akituma iingie kwenye M-pesa yangu.

Ameniambia wazi kuwa angetumia Western Union lakini makato yake ni makubwa.

Naombeni msaada hasa nyie watu wa Vodacom hili litawezekanaje?
 
Akutumie kupitia world remit pesa inaingia moja kwa moja Kwenye M-PESA yako ndani ya muda Mfupi na makato ni ya kawaida sana
 
Nina ndugu yangu yuko Marekani anataka kunitumia pesa ila akituma iingie kwenye M-pesa yangu.
Ameniambia wazi kuwa angetumia Western Union lakini makato yake ni makubwa.
Naombeni msaada hasa nyie watu wa Vodacom hili litawezekanaje?

Tumia application ya NALA. You can receive money around the world via your M-PESA.
 
Nina ndugu yangu yuko Marekani anataka kunitumia pesa ila akituma iingie kwenye M-pesa yangu.
Ameniambia wazi kuwa angetumia Western Union lakini makato yake ni makubwa.
Naombeni msaada hasa nyie watu wa Vodacom hili litawezekanaje?
Kuna app inaitwa Nala, ni nzuri na nafuu.
 
Western Union mobile wallet inatumwa myda huo huo unaenda kutoa kwa mpesa.
 
Nina ndugu yangu yuko Marekani anataka kunitumia pesa ila akituma iingie kwenye M-pesa yangu.

Ameniambia wazi kuwa angetumia Western Union lakini makato yake ni makubwa.

Naombeni msaada hasa nyie watu wa Vodacom hili litawezekanaje?
Mkuu World Remit na Remitly. Unapata kupitia Mpesa, tigopesa na airtel money.

Cc Lusungo
 
Back
Top Bottom