NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,402
- 4,532
Ikoje hii mkuu wa kazi huku kwetu ipo?Mwambie atumie World Remit
Inawezekana ,Tena apo apo unapata mpunga,yeye kule apakue hiyo application ,Kisha wewe mtumie jina na nambba husikaIkoje hii mkuu wa kazi huku kwetu ipo?
Kwanza niambie je kwa Mpesa inawezekana?
Nina ndugu yangu yuko Marekani anataka kunitumia pesa ila akituma iingie kwenye M-pesa yangu.
Ameniambia wazi kuwa angetumia Western Union lakini makato yake ni makubwa.
Naombeni msaada hasa nyie watu wa Vodacom hili litawezekanaje?
Kuna app inaitwa Nala, ni nzuri na nafuu.Nina ndugu yangu yuko Marekani anataka kunitumia pesa ila akituma iingie kwenye M-pesa yangu.
Ameniambia wazi kuwa angetumia Western Union lakini makato yake ni makubwa.
Naombeni msaada hasa nyie watu wa Vodacom hili litawezekanaje?
hebu google World Remit acha maswali mengi kama polisi asiye na cheo.Ikoje hii mkuu wa kazi huku kwetu ipo?
Kwanza niambie je kwa Mpesa inawezekana?
Mkuu World Remit na Remitly. Unapata kupitia Mpesa, tigopesa na airtel money.Nina ndugu yangu yuko Marekani anataka kunitumia pesa ila akituma iingie kwenye M-pesa yangu.
Ameniambia wazi kuwa angetumia Western Union lakini makato yake ni makubwa.
Naombeni msaada hasa nyie watu wa Vodacom hili litawezekanaje?
Ndio mkuu pia WhatsApp na TelegramIkoje hii mkuu wa kazi huku kwetu ipo?
Kwanza niambie je kwa Mpesa inawezekana?