Thanks mkuu. Ujue ni rahis watu kuelewa hayo wanayoyasema kwakua mazingira yao yamewa limit kwenye mtazamo huo. Sio kitu kibaya kwasababu tuko assigned kwenye level tofauti tofauti kiutendaji.
Mfano mimi, ni developer. That is my primary bread winner task.
But , katika harakat hiz, nimejikuta nalazimika sana kujua kuhusu Servers. And am doing great kwenye hilo eneo , why? Kwasababu nimejikuta (sio kwa kupenda) nalazimika kujua hizo mambo tena kwa undani.
At the same time, nimejikuta nalazimika sana kuijua networking kwakua kuna baadhi ya system unahitaji kuzi run both online and offline (incase internet imekata au imesumbua, watu wanahitaji kufanya kazi) na still unatakiwa kuhakikisha una maintain integrity ya data, no replication ,no redunduncy no what, just clean data. Hii tayar ni Database nzito tu (mambo ya online-offline database synchronization) na bado Networking inabid iwe mahala pake.
Sasa haya yote kulingana na mazingira, unajikuta unaya master vizuur. Na huna certification yoyote, is about really practical application ukiwa field daily.
Ndio maana simshangai mleta uzi hapo, mimi naamini inawezekana kabisaa na hasa katika level zetu za ujasiriamali ambazo huwez kuwa na capital ya kuwa na team of proffesionals.