Msaada wa kazi, Mimi ni IT expert with five years experience at work

Msaada wa kazi, Mimi ni IT expert with five years experience at work

Mimi ni IT expert Nina experience ya hii field miaka mitano sasa Nina uzoefu wa nyanja mbali mbali Kama Networking, IT SUPPORT ,Security system, System developer kama kuna ajira yoyote kuhusu IT naweza do iyo kazi private company, or any other institution
Wewe sio IT expert na hauna expertise kwenye domain yoyote ya IT.hili niko tayari ata kubet milioni 10 kulitetea
 
Hiv chief, ili uwe competent kwenye hizo networking, ni lazima uwe certified na hao watu? Sina maana mbaya kuwa hizo certifications means nothing, no. They mean a lot.
Lakin kwa dunia ya sasa mbona uwanja wa kujifunza na ku apply knowledge ni mpana sana ?? Not neccesary uwe na hizo paper validation!!.
sijui kama ni lazima au sio lazima lakini karibu asilimia 99 ya watu wanaofanya kazi kama network engineers wana hio certification. Kazi kwako kujua kama ni lazima au sio
 
sijui kama ni lazima au sio lazima lakini karibu asilimia 99 ya watu wanaofanya kazi kama network engineers wana hio certification. Kazi kwako kujua kama ni lazima au sio
not sure about that 99%. But still ni kitu kizuri kuwa certified for employment's sake. But competence is no limited to that, guaranteed.
 
Thanks mkuu. Ujue ni rahis watu kuelewa hayo wanayoyasema kwakua mazingira yao yamewa limit kwenye mtazamo huo. Sio kitu kibaya kwasababu tuko assigned kwenye level tofauti tofauti kiutendaji.

Mfano mimi, ni developer. That is my primary bread winner task.
But , katika harakat hiz, nimejikuta nalazimika sana kujua kuhusu Servers. And am doing great kwenye hilo eneo , why? Kwasababu nimejikuta (sio kwa kupenda) nalazimika kujua hizo mambo tena kwa undani.

At the same time, nimejikuta nalazimika sana kuijua networking kwakua kuna baadhi ya system unahitaji kuzi run both online and offline (incase internet imekata au imesumbua, watu wanahitaji kufanya kazi) na still unatakiwa kuhakikisha una maintain integrity ya data, no replication ,no redunduncy no what, just clean data. Hii tayar ni Database nzito tu (mambo ya online-offline database synchronization) na bado Networking inabid iwe mahala pake.

Sasa haya yote kulingana na mazingira, unajikuta unaya master vizuur. Na huna certification yoyote, is about really practical application ukiwa field daily.

Ndio maana simshangai mleta uzi hapo, mimi naamini inawezekana kabisaa na hasa katika level zetu za ujasiriamali ambazo huwez kuwa na capital ya kuwa na team of proffesionals.

Mkuu umeongea ukweli, ukipenda kujuwa vitu utataka kujifunza vitu vingi, naamini hata mleta uzi hajapata tu connection, kuna watu wapo nje ya game lakini sio kama ni vilaza lahasha ni wana vitu vingi kichwani na wana uzoefu kwa kuwa wanaojitolea sehemu mbalimbali pasipo malipo, mifumo ya ajira Tanzania inapwaya sana kuwatumia wenye uwezo bali wanachukuana kwa kubebebana
 
KWa dunia ya sasa ,utake wewe tu kutojua kitu, but internet if full of issues. Darasa tosha kabisa
Dunia ya sasa inataka at workplace kuwe na workforce with mult skill wasiegemee mtu mmoja tu kwenye eneo fulani alilosema kuepuka kumtegemea mtu mmoja tu kazini, hii ni kulinda risk zinazotokea punde mfanyakazi akiondoka ata replace mtu kwa kipindi hicho mpaka apatikane mtu atakae fit hiyo position na multi skill workforce wana compititive advantage kwenye soko la ajira ni wewe tu upambane na hilo soko utatoboa, hakuna jambo jepesi
 
Unamhitaji akufanyie kazi? unamhitaji kufanya nae kazi? kunamtu unamjua anaweza kumfaa? au unataka tu aweke details zake hapa ili uenjoy kusoma? au unataka kutushow kuwa nawewe kwenye IT kuna vitu unajua?

Jamaa kaandika vitu basic, ambavyo kimsingi kwenye platform kama hii ndivyo alipaswa kuweka.

Kama kunamtu anamhitaji kwa uzoefu alio nao, atamcheki PM, atamuomba CV, atapanga kukutana nae kwa interview na atamuuliza kila kitu anachohitaji kujua kutoka kwake.
You're not worthy my energy nor my time
 
Hiv chief, ili uwe competent kwenye hizo networking, ni lazima uwe certified na hao watu? Sina maana mbaya kuwa hizo certifications means nothing, no. They mean a lot.
Lakin kwa dunia ya sasa mbona uwanja wa kujifunza na ku apply knowledge ni mpana sana ?? Not neccesary uwe na hizo paper validation!!.
Jibu ni ndio lakini pia hapana. Certifications zinakusaidia ku buy na ku earn confidence ya employer kwasababu zina prove kwamba una hizo skills ulizo claim unazo kwenye CV. Certifications zinakusaidia kutojieleza saaana ili uweze ku aminika and trust me kwenye baadhi ya interview ukionesha certifications wanaweza ku skip baadhi ya maswali wakiamini mpaka uwe na iyo certification lazima uwe unafahamu kuhusu hayo maswali. Waajiri wengi especially wanaolipa sana wanapenda ku rely kwenye certification pia kuliko degree peke yake sababu ubora wa vyuo na mitaala yao hutofautiana lakini certifications zina constant uniform measure ya kukupima sababu sylabus ni ileile dunia nzima na standard ya mtihani ni ile ile dunia nzima. Atakaye pata CCNA certfication marekani hana tofauti na atakaye ipatia CCNA hapa tanzania laba watapishana kwenye scores tu lakini level and scope of exam ni ile ile. Lakini hatuwezi kusema hivyo kwa atakae chukua degree yake ya computer science kutoka marekani na mwingine achukulie hapa bongo maana vyuo kwanza hutofautiana ubora na mitaala.

Ni ndefu lakini naamini nimekujibu.
 
Back
Top Bottom