Msaada wa kazi, Mimi ni IT expert with five years experience at work

Wewe sio IT expert na hauna expertise kwenye domain yoyote ya IT.hili niko tayari ata kubet milioni 10 kulitetea
 
sijui kama ni lazima au sio lazima lakini karibu asilimia 99 ya watu wanaofanya kazi kama network engineers wana hio certification. Kazi kwako kujua kama ni lazima au sio
 
sijui kama ni lazima au sio lazima lakini karibu asilimia 99 ya watu wanaofanya kazi kama network engineers wana hio certification. Kazi kwako kujua kama ni lazima au sio
not sure about that 99%. But still ni kitu kizuri kuwa certified for employment's sake. But competence is no limited to that, guaranteed.
 

Mkuu umeongea ukweli, ukipenda kujuwa vitu utataka kujifunza vitu vingi, naamini hata mleta uzi hajapata tu connection, kuna watu wapo nje ya game lakini sio kama ni vilaza lahasha ni wana vitu vingi kichwani na wana uzoefu kwa kuwa wanaojitolea sehemu mbalimbali pasipo malipo, mifumo ya ajira Tanzania inapwaya sana kuwatumia wenye uwezo bali wanachukuana kwa kubebebana
 
KWa dunia ya sasa ,utake wewe tu kutojua kitu, but internet if full of issues. Darasa tosha kabisa
Dunia ya sasa inataka at workplace kuwe na workforce with mult skill wasiegemee mtu mmoja tu kwenye eneo fulani alilosema kuepuka kumtegemea mtu mmoja tu kazini, hii ni kulinda risk zinazotokea punde mfanyakazi akiondoka ata replace mtu kwa kipindi hicho mpaka apatikane mtu atakae fit hiyo position na multi skill workforce wana compititive advantage kwenye soko la ajira ni wewe tu upambane na hilo soko utatoboa, hakuna jambo jepesi
 
You're not worthy my energy nor my time
 
Jibu ni ndio lakini pia hapana. Certifications zinakusaidia ku buy na ku earn confidence ya employer kwasababu zina prove kwamba una hizo skills ulizo claim unazo kwenye CV. Certifications zinakusaidia kutojieleza saaana ili uweze ku aminika and trust me kwenye baadhi ya interview ukionesha certifications wanaweza ku skip baadhi ya maswali wakiamini mpaka uwe na iyo certification lazima uwe unafahamu kuhusu hayo maswali. Waajiri wengi especially wanaolipa sana wanapenda ku rely kwenye certification pia kuliko degree peke yake sababu ubora wa vyuo na mitaala yao hutofautiana lakini certifications zina constant uniform measure ya kukupima sababu sylabus ni ileile dunia nzima na standard ya mtihani ni ile ile dunia nzima. Atakaye pata CCNA certfication marekani hana tofauti na atakaye ipatia CCNA hapa tanzania laba watapishana kwenye scores tu lakini level and scope of exam ni ile ile. Lakini hatuwezi kusema hivyo kwa atakae chukua degree yake ya computer science kutoka marekani na mwingine achukulie hapa bongo maana vyuo kwanza hutofautiana ubora na mitaala.

Ni ndefu lakini naamini nimekujibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…