kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Eleza vizuri au uko kizmbani alikamatwa akifanya nn na mwanafunzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama kijana ni over 18 na huyo ni minor ndio hivyo mkuu. Sheria ni msumeno inakata pande zote. Hebu uliza huyo mwanafunzi wa darasa la ngapi usijeambiwa wa darasa la 6 maana vijana siku hizi hawajaliSawa, lkn wote ni vijana.
Kuwapeleka mahakamani na hadi jela ni kuharibu maisha yao na si kujenga.
Hao ni vijana na wengi tumepita hiyo stage.
Kwani binti ana umri gani?
Huyo mtendaji nini kinamuuma? Nani kafungua kesi? Sijaelewa vizuri labda.
Kessi ilitakiwa iishie kwa mtendaji kwa vijana kupewa onyo.
Binti ana miaka 19, aliyefungua kesi ni mtendaji akidai anataka kukomesha hiyo tabia kwenye kata yake. Kinachomuuma hakijulikani na kwanini analazimisha wazazi ambao hata sio walioshitaki?.Sawa, lkn wote ni vijana.
Kuwapeleka mahakamani na hadi jela ni kuharibu maisha yao na si kujenga.
Hao ni vijana na wengi tumepita hiyo stage.
Kwani binti ana umri gani?
Huyo mtendaji nini kinamuuma? Nani kafungua kesi? Sijaelewa vizuri labda.
Kessi ilitakiwa iishie kwa mtendaji kwa vijana kupewa onyo.
Atuambie binti ana umri gani. Kama ni sekondari waachwe haina haja kukomaa kama hakuna aliye lazimishwaKama kijana ni over 18 na huyo ni minor ndio hivyo mkuu. Sheria ni msumeno inakata pande zote. Hebu uliza huyo mwanafunzi wa darasa la ngapi usijeambiwa wa darasa la 6 maana vijana siku hizi hawajali
Waza kuhusu mtoto atakaye zaliwa utamtunza wewe? Kama ndivyo tutakusaidia afungweUna mtazamo kama wa wazazi
[emoji23][emoji23] sipo kizimbani walikutwa chumbani tu ila kwa mealezo yao washashiriki.Eleza vizuri au uko kizmbani alikamatwa akifanya nn na mwanafunzi
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 maajabu haya.Binti ana miaka 19, aliyefungua kesi ni mtendaji akidai anataka kukomesha hiyo tabia kwenye kata yake. Kinachomuuma hakijulikani na kwanini analazimisha wazazi ambao hata sio walioshitaki?.
Yupo Secondary form three. 19yrsAtuambie binti ana umri gani. Kama ni sekondari waachwe haina haja kukomaa kama hakuna aliye lazimishwa
Yah watu hawana huruma. Kuna kibinti cha form 2 pale wazo kilibakwa na mabodabida mpaka wakakivunja kiuno wakadhani kimekufa wakaenda kitupa kwenye mtaro. Kimekaa mhimbili zaidi ya mwakaAtuambie binti ana umri gani. Kama ni sekondari waachwe haina haja kukomaa kama hakuna aliye lazimishwa
mbona sijaona sehemu amesema binti kapewa mimba?Waza kuhusu mtoto atakaye zaliwa utamtunza wewe? Kama ndivyo tutakusaidia afungwe
Ila kama haupo tayar achana nalo
Komaa na maisha majungu umbea acha
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nimeshindwa kujua anachokitaka nilipewa namba nikampigia anasema eti anataka wazazi waunge mkono juhudi zake za kuzui mapenzi kwa wanafunzi [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] maajabu haya.
Naamini wakienda mahakamani hakimu mwenyewe atacheka.
Huyo mtendaji ana mtaka huyo binti si bure
Kwani we unataka kijana afungweNdugu wa JF hapa kuna Mvulana ( Sio Mwanafunzi) alikamatwa na Msichana (Mwanafunzi).
Alipokamatwa akaitwa mtendaji wa kata pamoja na baba mzazi wa binti. Kesi ikapelekwa Polisi then mahakamani. Mahakama inataka ushahidi (Ambao tayari upo maana walipigwa picha na video wakiwa pamoja)
Mtendaji amekuwa akiwalazimisha wazazi wa binti hususani mwanamke (ambaye hakuwepo kwenye tukio) kufika mahakamani kutoa ushaidi na mama amegoma kwa madai ya kuwa hakuwepo kwenye tukio hivyo hana ushaidi wa kuiambia mahakama lakini pia na ugumu wa maisha hana nauli za kumpeleka mahakamani.
Swali langu: Je huo ushaidi wa picha hautoshi kumfunga huyo kijana?. Na je anayehitajika kutoa ushaidi ni upande wa wazazi au wale waliowakamata na kupeleka taarifa kwa mtendaji.
Naomba kuwasilisha.
Huyu anayezungumzwa hapa ni binti wa miaka 19Yah watu hawana huruma. Kuna kibindi cha form 2 pale wazo kilibakwa na mabodabida mpaka wakakivunja kiuno wakadhani kimekufa wakaenda kitupa kwenye mtaro. Kimekaa mhimbili zaidi ya mwaka
Hana mimba na vipimo amefanyambona sijaona sehemu amesema binti kapewa mimba?
Kwa kweli huyu mtu mzima mwenzetuHuyu anayezungumzwa hapa ni binti wa miaka 19
Nenda wewe mjomba badala ya wazaziMimi nimeshindwa kujua anachokitaka nilipewa namba nikampigia anasema eti anataka wazazi waunge mkono juhudi zake za kuzui mapenzi kwa wanafunzi [emoji23][emoji23]
mimi hata nikitaka siwezi kumfunga swali langu ni hawa wazazi wanahusika vipi kwenye hii kesi?Kwani we unataka kijana afungwe
AiseeKwa kweli huyu mtu mzima mwenzetu
Mimi nipo Mwanza currently kesi ipo BukobaNenda wewe mjomba badala ya wazazi