Msaada wa Kisheria kuhusu mahusiano na Mwanafunzi

Msaada wa Kisheria kuhusu mahusiano na Mwanafunzi

Sawa, lkn wote ni vijana.
Kuwapeleka mahakamani na hadi jela ni kuharibu maisha yao na si kujenga.
Hao ni vijana na wengi tumepita hiyo stage.
Kwani binti ana umri gani?
Huyo mtendaji nini kinamuuma? Nani kafungua kesi? Sijaelewa vizuri labda.

Kessi ilitakiwa iishie kwa mtendaji kwa vijana kupewa onyo.
Kama kijana ni over 18 na huyo ni minor ndio hivyo mkuu. Sheria ni msumeno inakata pande zote. Hebu uliza huyo mwanafunzi wa darasa la ngapi usijeambiwa wa darasa la 6 maana vijana siku hizi hawajali
 
Sawa, lkn wote ni vijana.
Kuwapeleka mahakamani na hadi jela ni kuharibu maisha yao na si kujenga.
Hao ni vijana na wengi tumepita hiyo stage.
Kwani binti ana umri gani?
Huyo mtendaji nini kinamuuma? Nani kafungua kesi? Sijaelewa vizuri labda.

Kessi ilitakiwa iishie kwa mtendaji kwa vijana kupewa onyo.
Binti ana miaka 19, aliyefungua kesi ni mtendaji akidai anataka kukomesha hiyo tabia kwenye kata yake. Kinachomuuma hakijulikani na kwanini analazimisha wazazi ambao hata sio walioshitaki?.
 
Binti ana miaka 19, aliyefungua kesi ni mtendaji akidai anataka kukomesha hiyo tabia kwenye kata yake. Kinachomuuma hakijulikani na kwanini analazimisha wazazi ambao hata sio walioshitaki?.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 maajabu haya.
Naamini wakienda mahakamani hakimu mwenyewe atacheka.
Huyo mtendaji ana mtaka huyo binti si bure
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] maajabu haya.
Naamini wakienda mahakamani hakimu mwenyewe atacheka.
Huyo mtendaji ana mtaka huyo binti si bure
Mimi nimeshindwa kujua anachokitaka nilipewa namba nikampigia anasema eti anataka wazazi waunge mkono juhudi zake za kuzui mapenzi kwa wanafunzi [emoji23][emoji23]
 
Ndugu wa JF hapa kuna Mvulana ( Sio Mwanafunzi) alikamatwa na Msichana (Mwanafunzi).

Alipokamatwa akaitwa mtendaji wa kata pamoja na baba mzazi wa binti. Kesi ikapelekwa Polisi then mahakamani. Mahakama inataka ushahidi (Ambao tayari upo maana walipigwa picha na video wakiwa pamoja)

Mtendaji amekuwa akiwalazimisha wazazi wa binti hususani mwanamke (ambaye hakuwepo kwenye tukio) kufika mahakamani kutoa ushaidi na mama amegoma kwa madai ya kuwa hakuwepo kwenye tukio hivyo hana ushaidi wa kuiambia mahakama lakini pia na ugumu wa maisha hana nauli za kumpeleka mahakamani.

Swali langu: Je huo ushaidi wa picha hautoshi kumfunga huyo kijana?. Na je anayehitajika kutoa ushaidi ni upande wa wazazi au wale waliowakamata na kupeleka taarifa kwa mtendaji.

Naomba kuwasilisha.
Kwani we unataka kijana afungwe
 
Back
Top Bottom