Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Anastahili kupelekewa moto.Kwa kweli huyu mtu mzima mwenzetu
Shule ndo impe adhabu.
Mtendaji anamtaka binti, hili lipo wazi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anastahili kupelekewa moto.Kwa kweli huyu mtu mzima mwenzetu
Video inaonyesha wanafanya nini?Hana mimba na vipimo amefanya
Binti hana MimbaWaza kuhusu mtoto atakaye zaliwa utamtunza wewe? Kama ndivyo tutakusaidia afungwe
Ila kama haupo tayar achana nalo
Komaa na maisha majungu umbea acha
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamekaa kitandani tu na wamevaa nguo zao.Video inaonyesha wanafanya nini?
Basi mwacheni mtendaji apambane mwenyewe muone ataishia wapi.Mimi nipo Mwanza currently kesi ipo Bukoba
Sasa wewe una wasiwasi gani?Wamekaa kitandani tu na wamevaa nguo zao.
Naam naona hii ipo sawaAnastahili kupelekewa moto.
Shule ndo impe adhabu.
Mtendaji anamtaka binti, hili lipo wazi.
Walikutwa TU chumbani[emoji23][emoji23] sipo kizimbani walikutwa chumbani tu ila kwa mealezo yao washashiriki.
Kilichonifanya nije kuulizia sheria ni baada ya mtendaji kumtumia sms za kumtishia dada yangu kuwa atamfunga nikasema nijue kama anaweza kufungwa kweli.Sasa wewe una wasiwasi gani?
Kilichonifanya nije kuulizia sheria ni baada ya mtendaji kumtumia sms za kumtishia dada yangu kuwa atamfunga nikasema nijue kama anaweza kufungwa kweli.Sasa wewe una wasiwasi gani?
Ndio maana nipo hapa kujua sheriaWalikutwa TU chumbani
Sheria Gani inakataza bint huyu asiingie chumbani Kwa mwezake kinyume chake Kwa kijana wa kiume
Ana lake jambo.Kilichonifanya nije kuulizia sheria ni baada ya mtendaji kumtumia sms za kumtishia dada yangu kuwa atamfunga nikasema nijue kama anaweza kufungwa kweli.
Naam, nimekupata vizuri.Ana lake jambo.
Wazazi wamchunie. Apeleke yeye hiyo kesi mahakamani
Mtendaji wakiume au wakikeMimi nimeshindwa kujua anachokitaka nilipewa namba nikampigia anasema eti anataka wazazi waunge mkono juhudi zake za kuzui mapenzi kwa wanafunzi [emoji23][emoji23]
WakiumeMtendaji wakiume au wakike
Ushahidi wa picha inatosha pia wale waliomkamata kama mgambo na yale MAELEZO ya polis baada ya watuhumiwa kuhojiwa!!i!!
Japo inaonyesha wazazi wa binti hawapo TAYARI kumfunga kumfunga kijana!!
Tatizo kubwa SanaWakiume
DahTatizo kubwa Sana
Shahidi anayeharibu ushahidi kwa makusudi ni kweli anaweza kukutwa na hatia na huyo shahidi ni pamoja na huyo mtendaji.Kilichonifanya nije kuulizia sheria ni baada ya mtendaji kumtumia sms za kumtishia dada yangu kuwa atamfunga nikasema nijue kama anaweza kufungwa kweli.