Mwambieni Mtendaji hizo meseji pia zitakuwa sehemu ya ushahidiKilichonifanya nije kuulizia sheria ni baada ya mtendaji kumtumia sms za kumtishia dada yangu kuwa atamfunga nikasema nijue kama anaweza kufungwa kweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwambieni Mtendaji hizo meseji pia zitakuwa sehemu ya ushahidiKilichonifanya nije kuulizia sheria ni baada ya mtendaji kumtumia sms za kumtishia dada yangu kuwa atamfunga nikasema nijue kama anaweza kufungwa kweli.
Mtendaji ndiye anayetaka kumfunga na sio wazaziSitaongelea nani aletwe shahidi sababu hiyo ni kazi ya Mwendesha mashtaka wa serikali, na jibu la wazi juu ya hilo mtendaji hana huo uwezo wala mamlaka ya kusema nani awe shahidi hivyo kama kweli anafanya hivyo anafanya kazi ya watu sio yake.
Turudi kwenye hicho mnachoita ushahidi wa picha na video.
Hivyo havitoshi kumkuta na hatia huyo kijana. (Sitasema zaidi sababu mnataka kumfunga tu sio kutenda haki).
Kesi ilianzia Polisi wazazi waliitwa maana ni karibu waliweza kufika, na ni tarehe 16 mwezi uliopita, Jana ndo amewatumia summons ambayo imeandikwa kwa lugha ya Kiingereza. Akawasomea na kuondoka akiwataka leo wafike mahakamani. Leo asubuhi kafika nyumbani kuwachukua na pikipiki kwenda mahakamani hajawakuta ila kaenda shuleni kamchukua binti kaenda naye mahakamani.Shahidi anayeharibu ushahidi kwa makusudi ni kweli anaweza kukutwa na hatia na huyo shahidi ni pamoja na huyo mtendaji.
Kwani kesi ipo polisi au Mahakamani maana ni kama kuna stori mbili tofauti hapa.
SawaMwambieni Mtendaji hizo meseji pia zitakuwa sehemu ya ushahidi
Kosa liko wapi?Ndugu wa JF hapa kuna Mvulana ( Sio Mwanafunzi) alikamatwa na Msichana (Mwanafunzi).
Alipokamatwa akaitwa mtendaji wa kata pamoja na baba mzazi wa binti. Kesi ikapelekwa Polisi then mahakamani. Mahakama inataka ushahidi (Ambao tayari upo maana walipigwa picha na video wakiwa pamoja)
Mtendaji amekuwa akiwalazimisha wazazi wa binti hususani mwanamke (ambaye hakuwepo kwenye tukio) kufika mahakamani kutoa ushaidi na mama amegoma kwa madai ya kuwa hakuwepo kwenye tukio hivyo hana ushaidi wa kuiambia mahakama lakini pia na ugumu wa maisha hana nauli za kumpeleka mahakamani.
Swali langu: Je huo ushaidi wa picha hautoshi kumfunga huyo kijana?. Na je anayehitajika kutoa ushaidi ni upande wa wazazi au wale waliowakamata na kupeleka taarifa kwa mtendaji.
Naomba kuwasilisha.
Naam, kwanza mimi sikuwa eneo la tukio, Binti hajabakwa na hawakuwakuta wanafanya tendo na picha zilizopigwa wapo kitandani wamekaa. Ndiyo maana nikajaribu kuhusisha hii kesi na wazazi wake ambao hawakuusika kabisa mpaka taarifa zimepelekwa polisi, na baadae Mahakamani ni Mtendaji wa kata ndo anaratibu na kusimamia mpango mzima. Shida imekuja baada ya kuwalazimisha wazazi wakatoe ushaidi na hawajui chochote kilichotokea na wenyewe walihadithiwa.Mkuu kosa la ubakaji ni lazma LITHIBITISHWE PASIPO KUACHA SHAKA YOYOTE.
Unadai kuwa mliwapiga picha je hizo picha mliwapiga wakiwa mazingira gani? Isijekua mmewakuta watu wamekaa chumbani nyie mnawapiga picha.
Halafu mnapolazmisha wazazi wakatoe ushahidi ni ushahidi gani mnaoutaka kama mzazi hauwepo eneo la tukio?
Waende mtendaji na waliokuwepo eneo la tukio pamoja na huyo mwanafunzi ndio wakatoe ushahidi kama ukiwa na mashiko mahakama itamkuta jamaa na hatia na kama hautakua na mashiko basi jamaa ataachiwa
Kwanza kabisa ni kesi ya aina gani imefunguliwa?, sababu hapo inapaswa kuwa kesi ya jinai. Na ikishakuwa hivyo kuna ofisi ya muendesha mashtaka wa serikali (NPS) hawa ndio wanaosema nani awe shahidi kwenye hizo kesi dhidi ya Jamhuri.Kesi ilianzia Polisi wazazi waliitwa maana ni karibu waliweza kufika, na ni tarehe 16 mwezi uliopita, Jana ndo amewatumia summons ambayo imeandikwa kwa lugha ya Kiingereza. Akawasomea na kuondoka akiwataka leo wafike mahakamani. Leo asubuhi kafika nyumbani kuwachukua na pikipiki kwenda mahakamani hajawakuta ila kaenda shuleni kamchukua binti kaenda naye mahakamani.
Binafsi nikiangalia hii kesi sioni wazazi wakihusika ndiyo maana nikaja hapa kuomba kwenu mnaoijua sheria.
Kesi ilianzia Polisi wazazi waliitwa maana ni karibu waliweza kufika, na ni tarehe 16 mwezi uliopita, Jana ndo amewatumia summons ambayo imeandikwa kwa lugha ya Kiingereza. Akawasomea na kuondoka akiwataka leo wafike mahakamani. Leo asubuhi kafika nyumbani kuwachukua na pikipiki kwenda mahakamani hajawakuta ila kaenda shuleni kamchukua binti kaenda naye mahakamani.
Binafsi nikiangalia hii kesi sioni wazazi wakihusika ndiyo maana nikaja hapa kuomba kwenu mnaoijua sheria.
Kesipo mahakama ya Wilaya na kijana amewekwa mahabusu kwa mujibu wa taarifa ya mtendajiKwanza kabisa ni kesi ya aina gani imefunguliwa?, sababu hapo inapaswa kuwa kesi ya jinai. Na ikishakuwa hivyo kuna ofisi ya muendesha mashtaka wa serikali (NPS) hawa ndio wanaosema nani awe shahidi kwenye hizo kesi dhidi ya Jamhuri.
Polisi wao ni kukusanya ushahidi na kuandikisha maelezo na kupeleka faili NPS na kumpeleka mtuhumiwa Mahakamani siku ya kwanza baada ya hapo kazi yao imeisha.
Kesi za hivi zinazohusu makosa ya mahusiano na wanafunzi plus ubakaji yanaenda Mahakama ya wilaya au hakimu mkazi sasa nikuulize hiyo kesi ipo Mahakama gani?. Kama ipo Mahakama ya mwanzo jua ni magumashi hayo hapo wahuni wanatafuta kuwatoa hela.
Swali lingine muhimu, mtuhumiwa yupo wapi na ni nani mtuhumiwa kwenye hiyo kesi?.
Kuna jambo halijakaa sawa Mkuu.
Huyu binti alitishiwa na kupangiwa maneno ya kuongea kipindi maelezo yannachukuliwa polisi na inasemekana kijana naye leo amekiri kwamba ni kweli alikamatwa kweli.Sio sawa kumpeleka uyo kijana jela uyo mtendaji mpuuzi tuu, apo mnapaswa kumdefend uyo kijana kupitia uyo binti maana binti akisema uyo mvulana ni alikua ni mtu wake wakaribu kwajil ya masomo tu na sivinginevyo sizani kama mahakama itapinga.
Na ndo kinachoonekana eti analazimisha shaidi kwenda mahakamani tena kwa kuwatumia polisiMtendaji anatengeneza mazingira ya kuwavuta hela hao wazazi hamna jingine huwezi kushupalia jambo ambalo huna maslahi nalo
Na ndo kinachoonekana eti analazimisha shaidi kwenda mahakamani tena kwa kuwatumia polisi
Ndugu wa JF hapa kuna Mvulana ( Sio Mwanafunzi) alikamatwa na Msichana (Mwanafunzi).
Alipokamatwa akaitwa mtendaji wa kata pamoja na baba mzazi wa binti. Kesi ikapelekwa Polisi then mahakamani. Mahakama inataka ushahidi (Ambao tayari upo maana walipigwa picha na video wakiwa pamoja)
Mtendaji amekuwa akiwalazimisha wazazi wa binti hususani mwanamke (ambaye hakuwepo kwenye tukio) kufika mahakamani kutoa ushaidi na mama amegoma kwa madai ya kuwa hakuwepo kwenye tukio hivyo hana ushaidi wa kuiambia mahakama lakini pia na ugumu wa maisha hana nauli za kumpeleka mahakamani.
Swali langu: Je huo ushaidi wa picha hautoshi kumfunga huyo kijana?. Na je anayehitajika kutoa ushaidi ni upande wa wazazi au wale waliowakamata na kupeleka taarifa kwa mtendaji.
Naomba kuwasilisha.
Hayo yote hayajabainishwa sisi hatuna shida na kijana ila Mtendaji ndo ana shida
- Kuna Mimba?
- Mmemfumania wakilalana?
Kama hakuna hayo hapo muachen kijana wa watu.
Mtendaji anawatumia mapolisi kuwalazimisha kwenda mahakamani kutoa ushaidiNa wao nahisi wamejiongeza kutokwenda na wakienda wakatoa ushahidi wa uongo yaweza kula kwao Ko mi naona wapo sahihi wasiende
Mtendaji anataka kumkomoa kijana wa watuHakulazimishwa na wazazi wenyewe wamesema hawana uthibitisho maana hawakuwakamata. Ila Mtendaji anawapa vitishio kwamba watafungwa.
Sasa umeona wapi maswala ya wajukuu hapaKwa hiyo wewe hutaki kupata wajukuu?