Msaada wa Kisheria kuhusu mahusiano na Mwanafunzi

Mimi ni kaka yake mama wa binti ( Mjomba wa binti).
So unataka mtaji kupitia kijana wa watu kwa hofu ya kesi ya ubakaji?
Siku hizi ni biashara kwa sababu ya ugumu wa maisha.
Kwani kukaa na binti pasipohusishwa tendo la ngono ni kosa?
 
Dah uyo mtendaji atakua ana shida flani. Mkuu, kumsaidia dada (mama binti) nashauri ungewasiliana na mtu aliepo BKB ambae ni Mwanasheria aonane na sista (dada binti) amsaidie maana uyo mtendaji atakua anampelekesha sana.
 
Aliletwa kijana 1 mahakamani Mwanza huko mama wa kijana ndo mlalamikaji kajieleza vizuri kijana mkorofi na dokozi kapitia king’amuzi kauza na katika ukibaka wake kumbe huwa anakula na mwenyeki wa mtaa.

Umefika muda wa mlalamikiwa kuombwa awalete mashahidi kasema anae shahidi 1 ambaye ni mwenyeki. Ikafika siku kweli mwenyeki kaja kutoa ushahidi mshenzi ooh mi nzengo yangu kijana ni mstaarabu hana shida, hakimu kamuuliza shahidi we unamfaham vizuri kuliko mzazi wake shahidi kasema ndiyo.
Hakim kainama kuandika kuinua kichwa kamwambia askari huyu shahidi aende Butimba. Eeh shahidi kaomba kusema ukweli hakim kasema hamna muda wake umeisha. Kweli kaa siku 7 Butimba.
Kaletwa mahakamani kuulizwa vp kasema kule hapafai mheshimiwa ok leo uende nyumbani, kaenda kujinyonga huko kwake Igoma.

Ko bana swala ushahidi wa uongo mara nyingi hasa vijijini hata mjini pia yale majengo ya haki na kile kiapo ongeza na maneno ya kukaririshwa huwa vipotea lile eneo la mule ndani.
HAO WAZAZI WASIENDE HUKO VITISHO NI NINI?
 
Dah uyo mtendaji atakua ana shida flani. Mkuu, kumsaidia dada (mama binti) nashauri ungewasiliana na mtu aliepo BKB ambae ni Mwanasheria aonane na sista (dada binti) amsaidie maana uyo mtendaji atakua anampelekesha sana.
Naam kaka, nitajaribu kutafuta mbinu mbadala ila Mtendaji mwenyewe nimempigia na nimemzuia. Kaniambia kesi imesogezwa mpaka tarehe moja mwezi ujao. Yeye kama ana ugomvi na huyo kijana asitumie mgongo wa hili jambo.
 
Kama kijana ni over 18 na huyo ni minor ndio hivyo mkuu. Sheria ni msumeno inakata pande zote. Hebu uliza huyo mwanafunzi wa darasa la ngapi usijeambiwa wa darasa la 6 maana vijana siku hizi hawajali
Hata Kama ni chekechea ushahidi walikutwa wanafanya nini.
Ushahidi wa video uwe wa kitendo Cha kuingilia au ripoti ya daktari kuthibitisha ameingiliwa ikihusisha upimaji wa DNA kwamba huo utelezi umetoka kwa mtuhumiwa.
 
Aliletwa kijana 1 mahakamani Mwanza huko mama wa kijana ndo mlalamikaji kajieleza vizuri kijana mkorofi na dokozi kapitia king’amuzi kauza na katika ukibaka wake kumbe huwa anakula na mwenyeki wa mtaa.

Umefika muda wa mlalamikiwa kuombwa awalete mashahidi kasema anae shahidi 1 ambaye ni mwenyeki. Ikafika siku kweli mwenyeki kaja kutoa ushahidi mshenzi ooh mi nzengo yangu kijana ni mstaarabu hana shida, hakimu kamuuliza shahidi we unamfaham vizuri kuliko mzazi wake shahidi kasema ndiyo.
Hakim kainama kuandika kunuka amwambia askari huyu shahidi aende Butimba. Eeh shahidi kaomba kusema ukweli hakim kasema hamna muda wake umeisha. Kweli kaa siku 7 Butimba.
Kaletwa mahakamani kuulizwa vp kasema kule hapafai mheshimiwa ok leo uende nyumbani, kaenda kujinyonga huko kwake Igoma.

Ko bana swala ushahidi wa uongo mara nyingi hasa vijijini hata mjini pia yale majengo ya haki na kile kiapo ongeza na maneno ya kukaririshwa huwa vipotea lile eneo la mule ndani.
HAO WAZAZI WASIENDE HUKO VITISHO NI NINI?
Naam mkuu, vitisho ni kwamba atawafunga si unajua watu wa kijijini uwa wanawaogopa mapolisi kwahyo amewapelekea Summons iliyoandikwa kwa kiingereza akidai ni lazima wakatoe ushaidi. Ila mimi nimewazuia kwa sababu tu hawakuwafumania.
 
Awafunge kwa kosa lipi?
Wazuie waambie wawe na amani mtendaji aache mikwara na nna mashaka hata huyo binti yawezekana kuna maneno kalishwa na mtendaji
 
Nimempigia leo mtendaji kasema wamehojiwa, nitampigia mama yake binti ili niweze kuongea naye nijue kilichoendelea nitawasilisha.
 
Back
Top Bottom