Msaada wa Kisheria kuhusu mahusiano na Mwanafunzi

Msaada wa Kisheria kuhusu mahusiano na Mwanafunzi

Walikuwa wanagonoka au walikutwa tu uyo mwanamke anasemaje uyo jamaa akatae hana mahusiano nae ya kimapenzi
 
Walikuwa wanagonoka au walikutwa tu uyo mwanamke anasemaje uyo jamaa akatae hana mahusiano nae ya kimapenzi

Shida mtendaji kawa karibu mno na binti na hiyo jinsia unaijua kubadili ubao ni dakika nna mashaka na binti kwa sasa anaona mtendaji ni msaada
 
Hao viongozi huko kijjn hawana kazi ingekuwa rahisi kihivyo madogo huku mjini wote wangekuwa jela
Wanataka kutoa watu pesa tu hapo hamna kitu
Inavosemekana kuna "Secret Agenda behind the scenes" ndiyo maana anakuwa mkali hivo na anatishia kuwafunga kwasababu ana uhakika hawajui sheria.
 
Walikuwa wanagonoka au walikutwa tu uyo mwanamke anasemaje uyo jamaa akatae hana mahusiano nae ya kimapenzi
Kwa maelezo ya mtendaji hawakuwa wanagonoka ila anadai amezipata taarifa zao siku nyingi means anawafatilia kwahyo aliweka mtego kwahyo walivoingia room tu akapigiwa sim
 
Shida mtendaji kawa karibu mno na binti na hiyo jinsia unaijua kubadili ubao ni dakika nna mashaka na binti kwa sasa anaona mtendaji ni msaada
Binti yeye anampenda huyo kijana na hataki afungwe wazazi hawataki afungwe. Wanasema hizo hela za kuzunguka mahakamani zitasaidia matumizi hapo nyumbani kisanga ni mtendaji tu.
 
Kwa taarifa nilizopewa kesi imefikishwa mahakamani na mtendaji bila ridhaa ya wazazi na anawalazimisha waende mahakamani kutoa ushaidi ila wamegoma kwenda. Unanishauri niwaambie wafanye nini?
Wasiende mpaka watumiwe "samansi" na mahakama.
 
Back
Top Bottom