Msaada wa Kisheria kuhusu mahusiano na Mwanafunzi

Msaada wa Kisheria kuhusu mahusiano na Mwanafunzi

Kama kijana ni over 18 na huyo ni minor ndio hivyo mkuu. Sheria ni msumeno inakata pande zote. Hebu uliza huyo mwanafunzi wa darasa la ngapi usijeambiwa wa darasa la 6 maana vijana siku hizi hawajali
Mleta maada kasema wote Ni vijan,na tunajua kuna vijana wengine wako mshuleni na wengine wako na mishe zao za Maisha! hapo hakuna Mtoto, tujadili vijana!!
 
Binti ana miaka 19, aliyefungua kesi ni mtendaji akidai anataka kukomesha hiyo tabia kwenye kata yake. Kinachomuuma hakijulikani na kwanini analazimisha wazazi ambao hata sio walioshitaki?.
Natamani Mtendaji nae aje humu kujibu mapigo ili sisi Wananzengo tuhukumu kwa "HAKI"!!
 
Yah watu hawana huruma. Kuna kibinti cha form 2 pale wazo kilibakwa na mabodabida mpaka wakakivunja kiuno wakadhani kimekufa wakaenda kitupa kwenye mtaro. Kimekaa mhimbili zaidi ya mwaka
Hao Bodaboda ni wauwaji watafutwe haraka sana ili wawajibike mbele ya Vyombo vya Sheria!!
 
Kilichonifanya nije kuulizia sheria ni baada ya mtendaji kumtumia sms za kumtishia dada yangu kuwa atamfunga nikasema nijue kama anaweza kufungwa kweli.
Ukute hapo ugonvi ni kati ya Mtendaji na Dada yako, sema Mtendaji kapata chochoro ya kumkomowa Dada yako! Chunguza pia na hilo!!
 
Naona mtendaji alitaka mzigo WA denti akakosa Sasa Ana beef na jamaa kwakuwa kamzidi ujanja
 
Naam, kwanza mimi sikuwa eneo la tukio, Binti hajabakwa na hawakuwakuta wanafanya tendo na picha zilizopigwa wapo kitandani wamekaa. Ndiyo maana nikajaribu kuhusisha hii kesi na wazazi wake ambao hawakuusika kabisa mpaka taarifa zimepelekwa polisi, na baadae Mahakamani ni Mtendaji wa kata ndo anaratibu na kusimamia mpango mzima. Shida imekuja baada ya kuwalazimisha wazazi wakatoe ushaidi na hawajui chochote kilichotokea na wenyewe walihadithiwa.
Labda Mtendaji anataka Wazazi wakathibitishe tu Mahakamani kua kweli huyu ni binti yetu na kweli ni mwanafunzi, Sasa hayo mengine huko nje Wananzengo watasema na Kama kuna mashiko watalifanyia kazi!!
 
Huyu binti alitishiwa na kupangiwa maneno ya kuongea kipindi maelezo yannachukuliwa polisi na inasemekana kijana naye leo amekiri kwamba ni kweli alikamatwa kweli.

Binafsi kijana sijihusishi naye sana afungwe asifungwe ni sawa ila kulazimisha wazazi kutoa ushaidi na hawakuwa kwenye tukio ndo kinachonipa wasiwasi
Kama hadi vijana wenyewe wamekiri kuwa wanadinyana bila ushahidi wa DK,huo ni Mchongo wa hao vijana wakupige pesa, maana wwe unaonekana ni mbahiri sana utaki kusaidia ndg zako hadi kuwepo na shida kama msiba vile,au tatizo la kipolice au Mahakamani! Watumie pesa wamelize tatizo lao huko Mahakamani!!
 
Hata Kama ni chekechea ushahidi walikutwa wanafanya nini.
Ushahidi wa video uwe wa kitendo Cha kuingilia au ripoti ya daktari kuthibitisha ameingiliwa ikihusisha upimaji wa DNA kwamba huo utelezi umetoka kwa mtuhumiwa.
Ila kwenye baadhi ya hizi Mahakama zetu,ukikutana na Hakimu kesha kula mlungula akunyooshe,Mwana unanyooshwa bila ya ushahidi wa kisayansi kutoka kwa wataalamu wenye fani zao kuthibitisha Jambo hilo ulilotenda!!
 
Nimempigia anasema hajashawishiwa wala kuambiwa nini cha kusema japokuwa huyo kijana amekiri kuwa ni kweli alikamatwa.
Ndiyo ni kweli alikamatwa, Kijana yuko sahihi kabisa ndiyo maana wako pale kwenye Sheria! Swali ni je "alikamatwa akifanya nini"!!??
 
Yap ni watu kutojua sheria na woga
Kuto jua Sheria kwako hakumfanya Hakimu akunyime haki yako! Kama haki yako ipo na umefika kwenye Vyombo vya Sheria lazima upewe,iwe umetenda au haujatenda haki ita simama tu!!
 
Kwa taarifa nilizopewa kesi imefikishwa mahakamani na mtendaji bila ridhaa ya wazazi na anawalazimisha waende mahakamani kutoa ushaidi ila wamegoma kwenda. Unanishauri niwaambie wafanye nini?
Wamuuwe huyo mtendaji sababu ana kiherehere na mapenzi ya watu
Yeye kama yeye ni kitu gani kinamwasha:
 
Kama hadi vijana wenyewe wamekiri kuwa wanadinyana bila ushahidi wa DK,huo ni Mchongo wa hao vijana wakupige pesa, maana wwe unaonekana ni mbahiri sana utaki kusaidia ndg zako hadi kuwepo na shida kama msiba vile,au tatizo la kipolice au Mahakamani! Watumie pesa wamelize tatizo lao huko Mahakamani!!
Sio kweli
 
Back
Top Bottom