jkipaji
JF-Expert Member
- Sep 22, 2019
- 6,963
- 9,401
Mleta maada kasema wote Ni vijan,na tunajua kuna vijana wengine wako mshuleni na wengine wako na mishe zao za Maisha! hapo hakuna Mtoto, tujadili vijana!!Kama kijana ni over 18 na huyo ni minor ndio hivyo mkuu. Sheria ni msumeno inakata pande zote. Hebu uliza huyo mwanafunzi wa darasa la ngapi usijeambiwa wa darasa la 6 maana vijana siku hizi hawajali