Habari humu ndani naomba kupata mwongozo kidogo Baba yangu alikuwa na mji hapa dar na amefariki sasa mji wake umetwaliwa na TRC kwa ajili ya ujenzi wa SGR sasa malipo yake ndio naitaji kujua mgawanyiko wake unakuwaje tuko watoto sita na mama , kuna jambo moja nataka kuongeza hapo sisi watoto watatu wakubwa tuna mama yetu ambae alitarikiana na mzee na yeye ameshafariki na mzee akawa na mwanamke mwingine ambapo nao wako watoto watatu