Sagungu 1914
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 938
- 581
Sheria inasemaje Kwa mwanaukoo aliyekatalia kwenye kiwanja alichopewa na ukoo kuishi Kwa muda mpaka pale itakapoamriwa vinginevyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
licenseeSheria inasemaje Kwa mwanaukoo aliyekatalia kwenye kiwanja alicho pewa na ukoo kuishi Kwa muda mpaka pale itakapo amriwa vinginevyo.
Sasa mtu ameuliza kiswahili wewe unajibu kizungu[emoji849][emoji849].licensee
from high court judgement
I am not oblivious of the position of the law that a mere licensee or an invitee cannot claim adverse possession/ownership . However, the same is subject to proof by the so called owner of the disputed land that indeed the invader was merely licenced to use the land
Sheria zetu tume-copy kutoka kwa mkoloni wetu mwingreza so lazima zielezwe kwa lugha yao ili kuleta maana iliyokusudiwa ukisema aitafsiri italeta maana tofauti kabisa.Sasa mtu ameuliza kiswahili wewe unajibu kizungu[emoji849][emoji849].
Nendeni shule, pelekeni watoto shule. Magufuli alitaka kuwalemaza kwa uongo eti anakienzi Kiswahili wakati lugha ya malkia inampiga chengaSasa mtu ameuliza kiswahili wewe unajibu kizungu[emoji849][emoji849].
UpakooSasa mtu ameuliza kiswahili wewe unajibu kizungu[emoji849][emoji849].
PENDEJO.Nendeni shule, pelekeni watoto shule. Magufuli alitaka kuwalemaza kwa uongo eti anakienzi Kiswahili wakati lugha ya malkia inampiga chenga
Umiliki kwenye nyaraka unamsoma nani? Kama kajiongeza katengeneza makaratasi ya umiliki na hayo makubaliano yenu hayako kwenye maandishi umekwishaSheria inasemaje Kwa mwanaukoo aliyekatalia kwenye kiwanja alichopewa na ukoo kuishi Kwa muda mpaka pale itakapoamriwa vinginevyo.
Pia Kuna uwezekano kati ya wanaodai aondoke hakuna mmiliki kati Yao unakuta ni kiwanja Cha Babu yao ambacho jamaa amekaa na familia yake Kwa miaka 10 au 15. Leo Hana hata mia na ameshafanya kwake unasema atoke aende wapi? Na nyumba atawauzia au kumwachia nani? Anae achiwa anaachiwa Kama nani kwenye ukoo au familia? Je atalipa fidia ya nyumba? Kwanini wasimwachie eneo la nyumba tu aendelee kuishi na wao wajenge eneo jingine kwakua ni ndugu Yao au amekosa Nini kwenye ukoo?Umiliki kwenye nyaraka unamsoma nani? Kama kajiongeza katengeneza makaratasi ya umiliki na hayo makubaliano yenu hayako kwenye maandishi umekwisha
Mali za ukoo changamoto sana, ila kama wakati wanapeana kulikuwa na maandishi shughuli itakuwa nyepesi kumuondoa. Otherwise inabidi waangalie document za umiliki kama mmiliki bado yupo hai na kama hayupo kwenye mirathi nani msimamiziSheria inasemaje Kwa mwanaukoo aliyekatalia kwenye kiwanja alichopewa na ukoo kuishi Kwa muda mpaka pale itakapoamriwa vinginevyo.
Sheria inasemaje Kwa mwanaukoo aliyekatalia kwenye kiwanja alichopewa na ukoo kuishi Kwa muda mpaka pale itakapoamriwa vinginevyo.
Che kidudumba kihuvye umwina.Pia Kuna uwezekano kati ya wanaodai aondoke hakuna mmiliki kati Yao unakuta ni kiwanja Cha Babu yao ambacho jamaa amekaa na familia yake Kwa miaka 10 au 15. Leo Hana hata mia na ameshafanya kwake unasema atoke aende wapi? Na nyumba atawauzia au kumwachia nani? Anae achiwa anaachiwa Kama nani kwenye ukoo au familia? Je atalipa fidia ya nyumba? Kwanini wasimwachie eneo la nyumba tu aendelee kuishi na wao wajenge eneo jingine kwakua ni ndugu Yao au amekosa Nini kwenye ukoo?
Wamuachie tu alipojenga na maisha yaendelee. Naamini katika kauli inayosema "che kidudumbe kihuvye umwina" yenye maana kuwa anaejivuna Kuna kitu anakitegemea. Hivyo wasitake kujua anategemea Nini watakuja kustuka wameisha.
yaaani ni upinde mtupuSasa mtu ameuliza kiswahili wewe unajibu kizungu[emoji849][emoji849].
Sawa ,kwahiyo nayeye amekariri ,hakuelewa au inakuaje ashindwe kutafsiriSheria zetu tume-copy kutoka kwa mkoloni wetu mwingreza so lazima zielezwe kwa lugha yao ili kuleta maana iliyokusudiwa ukisema aitafsiri italeta maana tofauti kabisa.