Nunua Toka UK
JF-Expert Member
- Apr 17, 2023
- 303
- 587
Nje wapi mkuu.Nipo nje ya nchi na pasipoti yangu imeisha muda.
Nimesha jaza maombi ya pasipoti mpya na pia nimefanya malipo kwenye tovuti ya Uhamiaji.
Pia nimetuma barua pepe na copi Ubalozi. Lakini bado hawajajibu.
Naomba kama kuna mtu anajua taratibu zao nje nilichokifanya. Na inachukua muda gani?
Huyu yupo ushetu huko kimeisha kitambulisho Cha mpiga kula anasema passportNenda ubalozi wa Tanzania uliopo karibu nao watakupa muongozo
Nimetuma email ubalozini lakini wapo kimya.Nenda ubalozi wa Tanzania uliopo karibu nao watakupa muongozo
Ilaa wabongo bana tuna inferiority complex mbaya sana, basi hapo umejisikia inferior jamaa alivyosema yuko nje ya nchi, kwahiyo umeamua kumpinga kana kwamba unamjua ili tu walau ujione uko sawa naye na ujisikie vizuri..pathetic!!Huyu yupo ushetu huko kimeisha kitambulisho Cha mpiga kula anasema passport
Iliyo expire ilitoka miaka 10 iliyopita.Nje wapi mkuu.
Imeisha muda?
Hizi passport ordinary za sasa zimetoka rasmi 31 Jan 2021 wewe ya kwako imeisha muda?.
Mkuu au umesimuliwa hadithi za ma hustle umeamua kupitia nayo!!!?.
Tanzania Immigration Department e-Service
Tanzania Passport ApplicationTanzania Immigration Department e-Service
Tanzania Immigration Service Department online application for Visa, Residence Permit and Passporteservices.immigration.go.tz
Umeambiwa nenda mwaisaNimetuma email ubalozini lakini wapo kimya.
ππΎIlaa wabongo bana tuna inferiority complex mbaya sana, basi hapo umejisikia inferior jamaa alivyosema yuko nje ya nchi, kwahiyo umeamua kumpinga kana kwamba unamjua ili tu walau ujione uko sawa naye na ujisikie vizuri..pathetic!!
Ilikuwa sio ya kidigital.Nenda ubalozi ulio karibu kama hamna wa Tz nenda wa east africa country yoyote.
Ina maana hutumii passport ya kidigital mpaka leo maana hizi hata miaka mitano hazijafika wewe yako ime expire vipi?
Zile za kitabu cha zamani si hazitumiki tena? Umewezaje?
Mkuu, mwaisa ndo wapi au nini?Umeambiwa nenda mwaisa
Ulitumia hati ambayo haikuwa inatumika? Wakati wa kuzibadili ulikuwa wapi?Ilikuwa sio ya kidigital.
Ilitolewa miaka kumi iliyopiya na ime expire karibuni
Ana kitabu cha zamani.Kiongozi kwa mfano , page zote zimesha gongwa stamps, hakuna tena nafasi ya kugonga stamps ,na ndio kwanza imesha tumika miaka 3,uta subiria miaka kumi? Ndio uende ku renew?ππ
Nje wapi mkuu.
Imeisha muda?
π±βπ»Hizi passport ordinary za sasa zimetoka rasmi 31 Jan 2021 wewe ya kwako imeisha muda?.
Mkuu au umesimuliwa hadithi za ma hustle umeamua kupitia nayo!!!?.
Tanzania Immigration Department e-Service
Tanzania Passport ApplicationTanzania Immigration Department e-Service
Tanzania Immigration Service Department online application for Visa, Residence Permit and Passporteservices.immigration.go.tz