Msaada wa ku renew passport nje ya Tanzania

Msaada wa ku renew passport nje ya Tanzania

Nipo nje ya nchi na pasipoti yangu imeisha muda.

Nimesha jaza maombi ya pasipoti mpya na pia nimefanya malipo kwenye tovuti ya Uhamiaji.

Pia nimetuma barua pepe na copi Ubalozi. Lakini bado hawajajibu.

Naomba kama kuna mtu anajua taratibu zao nje nilichokifanya. Na inachukua muda gani?
Mkuu hizo address unazokutaga kwenye website ya kibongo either serikali au taasisi binafsi nyingi huwaga ziko down au utajibiwa after 1 month..

Muhimu wapigie direct
 
Nenda ubalozi ulio karibu kama hamna wa Tz nenda wa east africa country yoyote.

Ina maana hutumii passport ya kidigital mpaka leo maana hizi hata miaka mitano hazijafika wewe yako ime expire vipi?

Zile za kitabu cha zamani si hazitumiki tena? Umewezaje?
Mkuu mambo huwa yanabadilika, ni sawa na sheria leo unaweza kuwa na passport ya kijani ya 10 yrs baada ya uchaguzi ikawa rangi nyekundu na ikakulazimu uibadilishe,
 
Alikuwa hayupo nchini, ukiona scenario ya namna hiyo ujue mhusika hakuwa Tanzania
Ukiwa nje unatumia ubalozi kubadili ndio maana watu wanashangaa na kuona Kuna walakini sehemu.

Na kama nchi ulipo haina ubalozi wa Tz basi unatafuta ubalozi wa nchi mwanachama wa EAC ili uweze kusaidika
 
Iliyo expire ilitoka miaka 10 iliyopita.
Kwenye “hadithi za ma hustle” sijakusoma!
Mzee hizo kwa sasa hazitambuliki wewe umeitumiaje wakati hata baadhi ya mataifa ulienda na hiyo hawaitambui. Mara ya mwisho uliitumia wapi?
 
Ilaa wabongo bana tuna inferiority complex mbaya sana, basi hapo umejisikia inferior jamaa alivyosema yuko nje ya nchi, kwahiyo umeamua kumpinga kana kwamba unamjua ili tu walau ujione uko sawa naye na ujisikie vizuri..pathetic!!
Huna akili ndio maana hurlewi masuala ya kiuamiaji.

Huyu angekua Yuko nje ya nchi angesha badiri na naamini ni msomi anashindwaje kujua process za kurenew passport ukiwa foreign country?.

I'm talk by experience tukitoka nje ya bongo akili inafunguka sana kuhusu masuala ya kiuamiaji maana changamoto ya documents mbele huwezi laa kizembe maana hata huduma huwezi kupata.iwe East southern far east middle east Schengen america au Caribbean.

Inaleta story za nyanya na kissu. Unafikiri kukaa nje ni kama upo tandika sio?.

Mwambie aseme yupo nchi gani tumswalike hapa ujionee maajabu.

Umeisha Toka nje ya mipaka ya bongo tu Uhuru, amani na fulaha vinatoweka. Upweke, Msongo wa mawazo na kukosa charming company kama ya mtimbila vina kosekana kabisa.

By the way nenda VETA
 
Nimetuma email ubalozini lakini wapo kimya.
Ubalozi haufanyi process za passport kwa sasa. Unamaliza mtandaoni Tena ukiwa ulisha wahi miliki tunataka ku renew ni simple. Data base ya uhamoaji inakutambua. Sema ukweli broo bado unatumiaje ordinary passport za kijani?.

Hivi sasa hizo za kijani ni service ni kwaajili ya wanaokula kwa urefu wa kamba zao
 
Nje wapi mkuu.

Imeisha muda?

Hizi passport ordinary za sasa zimetoka rasmi 31 Jan 2021 wewe ya kwako imeisha muda?.

Mkuu au umesimuliwa hadithi za ma hustle umeamua kupitia nayo!!!?.


Tanzania Immigration Department e-Service
Tanzania Passport Application
Inawezekana anasafiri mara kwa mara kwa hiyo imejaa hakuna sehemu ya kugonga tena visa au muhuri
 
Inawezekana anasafiri mara kwa mara kwa hiyo imejaa hakuna sehemu ya kugonga tena visa au muhuri
Hata kama huyu anaonekana Yuko nchi jirani na kachanga mama nao kama mwenyeji ndio maana haapati usumbufu. Au yupo dizonga maana kule Kuna madogo hata hiyo pasi ya kusafiria hawana. Au huyu hana kabisa angekua ana safiri mara kwa mara Hilo ni suala la msingi sana hawezi acha kulikua. Kuijaza pasi page 47 sio mchezo.
 
Huna akili ndio maana hurlewi masuala ya kiuamiaji.

Huyu angekua Yuko nje ya nchi angesha badiri na naamini ni msomi anashindwaje kujua process za kurenew passport ukiwa foreign country?.

I'm talk by experience tukitoka nje ya bongo akili inafunguka sana kuhusu masuala ya kiuamiaji maana changamoto ya documents mbele huwezi laa kizembe maana hata huduma huwezi kupata.iwe East southern far east middle east Schengen america au Caribbean.

Inaleta story za nyanya na kissu. Unafikiri kukaa nje ni kama upo tandika sio?.

Mwambie aseme yupo nchi gani tumswalike hapa ujionee maajabu.

Umeisha Toka nje ya mipaka ya bongo tu Uhuru, amani na fulaha vinatoweka. Upweke, Msongo wa mawazo na kukosa charming company kama ya mtimbila vina kosekana kabisa.

By the way nenda VETA
Mkuu, mbona unataka kuleta ubishi ambao hauna tija yoyote.
Nimeenda kwenye website ya uhamiaji na kujaza maombi ya passport mpya na malipo.
Na pia nimewatumia barua pepe na pia tukatuma kopi ubalozi.
 
Back
Top Bottom