Msaada wa ku renew passport nje ya Tanzania

Msaada wa ku renew passport nje ya Tanzania

Tatizo website ya embassy inaonekana bado mpya hakuna info za kutosha zamani pamoja na kujaza form ulitakiwa pia kuleta birth certificate ya mzazi ama affidavit. Wapigie uulize requirements au nenda physically London.
Dada umeupiga mwingi😊
Hivi website ipo hewani?
Nimeongea na Ubalozi. Wamesimamisha zoezi la fingerprints kwa sababu pale Bond Street wamepafunga kwa ajili ya ujenzi.
 
Tatizo website ya embassy inaonekana bado mpya hakuna info za kutosha zamani pamoja na kujaza form ulitakiwa pia kuleta birth certificate ya mzazi ama affidavit. Wapigie uulize requirements au nenda physically London.
Lakini pia kama umeweka details za passport iliyo expire bado bado wanataka birth cert ya mzazi. Mzazi mwenye miaka 80. Kumwuliza cheti cha kuzaliwa, sikumchosha!
 
Mkuu, Sidhani kama ni kosa kutumia hati ambayo sio ya kigital kama haija expire
Hupo nchi gani kwanza tuanzie hapo.?? Hiyo pasipoti ya Tanzania ya zamani unaitumia wapi😄 Labda kama urudi kwenu mara kwa mara.
 
Back
Top Bottom