Msaada wa ku renew passport nje ya Tanzania

Mkuu, mbona unataka kuleta ubishi ambao hauna tija yoyote.
Nimeenda kwenye website ya uhamiaji na kujaza maombi ya passport mpya na malipo.
Na pia nimewatumia barua pepe na pia tukatuma kopi ubalozi.
Passport mpya zimeanza kutumika tangu 2021.

Wewe ulikuaga wapi miaka yote hii minne kubadili passport yako, unakuja kubadili sasa?

Na endapo ulibadilisha, inakuaje passport ime expire ndani ya miaka minne?
 
Passport ya zamani unaruhusiwa kuitumia mpaka unaporudi kwenye Nchi yako kuibadili au ikiisha muda wazee ina maana humu wengi tupo kimanzichana kama mimi harafu tupo busy kuongelea mambo ya passport uliingia na passport yenye taarifa hizo unapotoka utaruhusiwa kutoka nayo kama zile karatasi za Emergency.
Turudi kwenye mada jamaa ilitakiwa aanzie ubalozini ndio inakua rahisi akiomba huo ubalozi ndio utafatilia passport yake na yeye kwenda kuipokea Ubalozini hata uombe online passport haitumwi kwa address unayoishi utasubiri sana kujibiwa.
 
Passport mpya zimeanza kutumika tangu 2021.

Wewe ulikuaga wapi miaka yote hii minne kubadili passport yako, unakuja kubadili sasa?

Na endapo ulibadilisha, inakuaje passport ime expire ndani ya miaka minne?
Min ninae mtu anayo mpya toka 2019.
 
Humu kuna watu ujuaji mwingi kumbe hawana taarifa sahihi.
Wanamshambulia mleta mada badala ya kumsaidia.
 
Passport ya zamani ile ya kijani kama ulitoka nje ya Tz kabla ya 2019/2021 ulikuwa unatoka nayo,especially kama ina residence permit/visa ndefu ya nchi unayoenda.

Tukirudi kwenye swali la mtoa mada:
Ilitakiwa uende ubalozini ndio wakupe abc
maana itatakiwa upige picha na ufanye finger print,so ubalozi ndio utakupa appointment lini ukafanyiwe hivo vitu hapo ubalozini.Ni lazima hata kama ulimiliki passport kabla.(balozi zetu zingine mashine za finger print hazifanyi kazi miaka miwili sasa eg ubalozi wetu uliopo Beijing China)

Pia ubalozi utakupa documents za utambulisho wakati ukisubiri passport yako mpya (kama ya zamani imekwisha ku expire,unatakiwa kupata docs za utambulisho wakati passport bado ni valid,maana iki expire means huna visa,huwekewi visa zaid ya muda wa validity ya passport yako)

Utajaza form online,kuna kipengele unatakiwa uchague kuwa ni maombi yanayofanyika nje ya nchi. Utalipa gharama,na kama ni express kuna extra charges nadhani.(maana passport itatoka Tanzania,ubalozi hautoi passport).

Passport ikifika ubalozini utajulishwa ukaifate,na uanze process za kuhamisha residence permit/visa kwenda passport mpya na nyaraka zingine zote kama bank acc etc
 
Asante Mkuu.
Nchi niliopo ni muda mrefu sasa walishaacha kuweka visa kwenye passport badala yake walikuwa wanakupa biometric card.
Hata biometric card nayo wameachana nayo siku za karibuni badala unakuwa na Evisa
 
Ukiwa nje unatumia ubalozi kubadili ndio maana watu wanashangaa na kuona Kuna walakini sehemu.

Na kama nchi ulipo haina ubalozi wa Tz basi unatafuta ubalozi wa nchi mwanachama wa EAC ili uweze kusaidika
Hivi inawezekanika kupata passport kwenye balozi za nchi wanachama hata kama nchi yako haina balozi hapo
 
Nje wapi mkuu.

Imeisha muda?

Hizi passport ordinary za sasa zimetoka rasmi 31 Jan 2021 wewe ya kwako imeisha muda?.

Mkuu au umesimuliwa hadithi za ma hustle umeamua kupitia nayo!!!?.

Tanzania Immigration Department e-Service
Tanzania Passport Application

View: https://youtu.be/OT9HsNszYCI
 
Recently we have experienced an increasing number of individuals who need help with an expired passport even though they possess a UK visa. UK law allows a foreigner to remain in the country and use the visa with an expired passport, but this is something many feel uncomfortable with.

HOME OFFICE GUIDANCE ON AN EXPIRED PASSPORT​

The Home Office guidance on the matter very clearly states that a person can use the valid UK visa in the expired passport. The person however has to show the expired passport together with the new passport.
UK employers who have doubts about a person’s right to work in the UK can check this with the UK Employer Checking Service.

HOW TO SOLVE THIS ISSUE?​

When you have an expired passport and valid visa you can apply for a BRP Biometric Residence Permit. You can do this while you are inside the United Kingdom.
Residents residing outside the UK, need to transfer their valid UK visa to their updated passport. Even though there are no laws that insist residents and foreigners must have a Biometric Residence Permit in instances where passports have expired. The upside of obtaining a Biometric Residence Permit are as follows:
  • You will be able to travel in and out of the UK
  • You have proof that you are allowed to access benefits in the UK and have the right to legally work inside of the UK.
  • A Biometric Residence Permit offers you enhanced security

BIOMETRIC RESIDENCE PERMITS​

In recent times all, new applicants for UK visas are automatically issued with Biometric Residence Permits. If your visa application to the UK is successful you receive a thirty-day vignette in your passport. This gives you a grace period to leave the country of origin and travel to the UK.
Upon arrival in the UK, the Biometric Residence Permit will be ready and issued. The BRP is a work permit or settlement permit. Once an applicant with this visa requests an indefinite leave to remain visa in the UK, they will be issued a new BRP. The BRP is ideal to have due to doubts that could arise at employers and airports especially. We invite you to let us help you with the steps to obtain your Biometric Residence Permit to be safe too.
 
Asante Mkuu.
Nchi niliopo ni muda mrefu sasa walishaacha kuweka visa kwenye passport badala yake walikuwa wanakupa biometric card.
Hata biometric card nayo wameachana nayo siku za karibuni badala unakuwa na Evisa

Okay,
Procedures za kufata kupata passport ndio hizo,wasiliana na ubalozi hata kwa calls upate appointment ya fingerprints na picha.Ila kama bado unayo Evisa then you are good,labda utake kusafiri nchi nyingine ndio shida.

Kama ni unataka kurudi Tz basi una apply ETD ubalozini (wanatoa wao ubalozini sio ya kusubiri itoke Tz) ina cost 20$,hii ni document halali inayosimama badala ya passport lakini inakuwezesha kurudi nchini kwako pekee.
 
Ubalozi wamesimamisha zoezi la kuchukua fingerprints kwa muda.
 
Recently we have experienced an increasing number of individuals who need help with an expired passport even though they possess a UK visa. UK law allows a foreigner to remain in the country and use the visa with an expired passport, but this is something many feel uncomfortable with.

HOME OFFICE GUIDANCE ON AN EXPIRED PASSPORT​

The Home Office guidance on the matter very clearly states that a person can use the valid UK visa in the expired passport. The person however has to show the expired passport together with the new passport.
UK employers who have doubts about a person’s right to work in the UK can check this with the UK Employer Checking Service.

HOW TO SOLVE THIS ISSUE?​

When you have an expired passport and valid visa you can apply for a BRP Biometric Residence Permit. You can do this while you are inside the United Kingdom.
Residents residing outside the UK, need to transfer their valid UK visa to their updated passport. Even though there are no laws that insist residents and foreigners must have a Biometric Residence Permit in instances where passports have expired. The upside of obtaining a Biometric Residence Permit are as follows:
  • You will be able to travel in and out of the UK
  • You have proof that you are allowed to access benefits in the UK and have the right to legally work inside of the UK.
  • A Biometric Residence Permit offers you enhanced security

BIOMETRIC RESIDENCE PERMITS​

In recent times all, new applicants for UK visas are automatically issued with Biometric Residence Permits. If your visa application to the UK is successful you receive a thirty-day vignette in your passport. This gives you a grace period to leave the country of origin and travel to the UK.
Upon arrival in the UK, the Biometric Residence Permit will be ready and issued. The BRP is a work permit or settlement permit. Once an applicant with this visa requests an indefinite leave to remain visa in the UK, they will be issued a new BRP. The BRP is ideal to have due to doubts that could arise at employers and airports especially. We invite you to let us help you with the steps to obtain your Biometric Residence Permit to be safe too.
Asante Mkuu lakini nadhani haya maelekezo niya zamani kidogo:
-HO walishaacha kugonga visa kwenye passport badala yake walikuwa wana issue BRP.
- Nakuanzia 31st December 24 waliacha ku issue BRP badala unakuwa na HO akaunti ambayo ina EVisa na unaweza ku generate Sharecode.
 
Kiongozi kwa mfano , page zote zimesha gongwa stamps, hakuna tena nafasi ya kugonga stamps ,na ndio kwanza imesha tumika miaka 3,uta subiria miaka kumi? Ndio uende ku renew?😇😇
Kwa ufahamu wangu, Pasipoti ikishaajaa unaweza kuomba nyingine na sio kusubiri mpaka inakaribia ku expire.
 
Tatizo website ya embassy inaonekana bado mpya hakuna info za kutosha zamani pamoja na kujaza form ulitakiwa pia kuleta birth certificate ya mzazi ama affidavit. Wapigie uulize requirements au nenda physically London.
 
Back
Top Bottom