The Knowledge Seeker
JF-Expert Member
- Apr 13, 2019
- 4,389
- 6,665
Mkuu hizo address unazokutaga kwenye website ya kibongo either serikali au taasisi binafsi nyingi huwaga ziko down au utajibiwa after 1 month..Nipo nje ya nchi na pasipoti yangu imeisha muda.
Nimesha jaza maombi ya pasipoti mpya na pia nimefanya malipo kwenye tovuti ya Uhamiaji.
Pia nimetuma barua pepe na copi Ubalozi. Lakini bado hawajajibu.
Naomba kama kuna mtu anajua taratibu zao nje nilichokifanya. Na inachukua muda gani?
Alikuwa hayupo nchini, ukiona scenario ya namna hiyo ujue mhusika hakuwa TanzaniaUlitumia hati ambayo haikuwa inatumika? Wakati wa kuzibadili ulikuwa wapi?
Poapoa kiongozi,watu wanajaza passport kwa miaka 2, nilidhania ana shangaa pass kujaa kabla ya muda wakeAna kitabu cha zamani.
Negative energy ndo hao watu sasa...anajifarijiIlaa wabongo bana tuna inferiority complex mbaya sana, basi hapo umejisikia inferior jamaa alivyosema yuko nje ya nchi, kwahiyo umeamua kumpinga kana kwamba unamjua ili tu walau ujione uko sawa naye na ujisikie vizuri..pathetic!!
Mkuu mambo huwa yanabadilika, ni sawa na sheria leo unaweza kuwa na passport ya kijani ya 10 yrs baada ya uchaguzi ikawa rangi nyekundu na ikakulazimu uibadilishe,Nenda ubalozi ulio karibu kama hamna wa Tz nenda wa east africa country yoyote.
Ina maana hutumii passport ya kidigital mpaka leo maana hizi hata miaka mitano hazijafika wewe yako ime expire vipi?
Zile za kitabu cha zamani si hazitumiki tena? Umewezaje?
Tafuta namba zao za ubalozi piga au namba za ofisi ya uhamiaji kitengo cha ubalozi ndo wanadili na passport za nje watakusaidiaNimetuma email ubalozini lakini wapo kimya.
HapanaKiongozi kwa mfano , page zote zimesha gongwa stamps, hakuna tena nafasi ya kugonga stamps ,na ndio kwanza imesha tumika miaka 3,uta subiria miaka kumi? Ndio uende ku renew?😇😇
Ukiwa nje unatumia ubalozi kubadili ndio maana watu wanashangaa na kuona Kuna walakini sehemu.Alikuwa hayupo nchini, ukiona scenario ya namna hiyo ujue mhusika hakuwa Tanzania
Kasema ime expire, sio page zimejaaKiongozi kwa mfano , page zote zimesha gongwa stamps, hakuna tena nafasi ya kugonga stamps ,na ndio kwanza imesha tumika miaka 3,uta subiria miaka kumi? Ndio uende ku renew?😇😇
Mzee hizo kwa sasa hazitambuliki wewe umeitumiaje wakati hata baadhi ya mataifa ulienda na hiyo hawaitambui. Mara ya mwisho uliitumia wapi?Iliyo expire ilitoka miaka 10 iliyopita.
Kwenye “hadithi za ma hustle” sijakusoma!
Huna akili ndio maana hurlewi masuala ya kiuamiaji.Ilaa wabongo bana tuna inferiority complex mbaya sana, basi hapo umejisikia inferior jamaa alivyosema yuko nje ya nchi, kwahiyo umeamua kumpinga kana kwamba unamjua ili tu walau ujione uko sawa naye na ujisikie vizuri..pathetic!!
Ubalozi haufanyi process za passport kwa sasa. Unamaliza mtandaoni Tena ukiwa ulisha wahi miliki tunataka ku renew ni simple. Data base ya uhamoaji inakutambua. Sema ukweli broo bado unatumiaje ordinary passport za kijani?.Nimetuma email ubalozini lakini wapo kimya.
Inawezekana anasafiri mara kwa mara kwa hiyo imejaa hakuna sehemu ya kugonga tena visa au muhuriNje wapi mkuu.
Imeisha muda?
Hizi passport ordinary za sasa zimetoka rasmi 31 Jan 2021 wewe ya kwako imeisha muda?.
Mkuu au umesimuliwa hadithi za ma hustle umeamua kupitia nayo!!!?.
Tanzania Immigration Department e-Service
Tanzania Passport ApplicationTanzania Immigration Department e-Service
Tanzania Immigration Service Department online application for Visa, Residence Permit and Passporteservices.immigration.go.tz
Dah siku yoyote, atakaye kuvagaa ame isha😆😁Ilaa wabongo bana tuna inferiority complex mbaya sana, basi hapo umejisikia inferior jamaa alivyosema yuko nje ya nchi, kwahiyo umeamua kumpinga kana kwamba unamjua ili tu walau ujione uko sawa naye na ujisikie vizuri..pathetic!!
Hata kama huyu anaonekana Yuko nchi jirani na kachanga mama nao kama mwenyeji ndio maana haapati usumbufu. Au yupo dizonga maana kule Kuna madogo hata hiyo pasi ya kusafiria hawana. Au huyu hana kabisa angekua ana safiri mara kwa mara Hilo ni suala la msingi sana hawezi acha kulikua. Kuijaza pasi page 47 sio mchezo.Inawezekana anasafiri mara kwa mara kwa hiyo imejaa hakuna sehemu ya kugonga tena visa au muhuri
Mkuu, Sidhani kama ni kosa kutumia hati ambayo sio ya kigital kama haija expireUlitumia hati ambayo haikuwa inatumika? Wakati wa kuzibadili ulikuwa wapi?
Similiki zaidi ya mojaUtakuwa una miliki passport zaidi ya moja kwa nchi tofauti
AsanteMkuu hizo address unazokutaga kwenye website ya kibongo either serikali au taasisi binafsi nyingi huwaga ziko down au utajibiwa after 1 month..
Muhimu wapigie direct
Mkuu, mbona unataka kuleta ubishi ambao hauna tija yoyote.Huna akili ndio maana hurlewi masuala ya kiuamiaji.
Huyu angekua Yuko nje ya nchi angesha badiri na naamini ni msomi anashindwaje kujua process za kurenew passport ukiwa foreign country?.
I'm talk by experience tukitoka nje ya bongo akili inafunguka sana kuhusu masuala ya kiuamiaji maana changamoto ya documents mbele huwezi laa kizembe maana hata huduma huwezi kupata.iwe East southern far east middle east Schengen america au Caribbean.
Inaleta story za nyanya na kissu. Unafikiri kukaa nje ni kama upo tandika sio?.
Mwambie aseme yupo nchi gani tumswalike hapa ujionee maajabu.
Umeisha Toka nje ya mipaka ya bongo tu Uhuru, amani na fulaha vinatoweka. Upweke, Msongo wa mawazo na kukosa charming company kama ya mtimbila vina kosekana kabisa.
By the way nenda VETA