Nunua Toka UK
JF-Expert Member
- Apr 17, 2023
- 303
- 587
- Thread starter
-
- #61
Tupo kwenye wakati wa AI halafu watu hawaoni umuhimu wa technologyMkuu hizo address unazokutaga kwenye website ya kibongo either serikali au taasisi binafsi nyingi huwaga ziko down au utajibiwa after 1 month..
Muhimu wapigie direct
Dada umeupiga mwingi😊Tatizo website ya embassy inaonekana bado mpya hakuna info za kutosha zamani pamoja na kujaza form ulitakiwa pia kuleta birth certificate ya mzazi ama affidavit. Wapigie uulize requirements au nenda physically London.
Ungekua ndani ya tz ngeweza kukupa connection uipate on time lakini ukishindwa kabisa ncheck pm tuone tunafanyaje bossTupo kwenye wakati wa AI halafu watu hawaoni umuhimu wa technology
Lakini pia kama umeweka details za passport iliyo expire bado bado wanataka birth cert ya mzazi. Mzazi mwenye miaka 80. Kumwuliza cheti cha kuzaliwa, sikumchosha!Tatizo website ya embassy inaonekana bado mpya hakuna info za kutosha zamani pamoja na kujaza form ulitakiwa pia kuleta birth certificate ya mzazi ama affidavit. Wapigie uulize requirements au nenda physically London.
Nafahamu hilo mkuu,mimi nilikua namu uliza ,Kwa ufahamu wangu, Pasipoti ikishaajaa unaweza kuomba nyingine na sio kusubiri mpaka inakaribia ku expire.
Hupo nchi gani kwanza tuanzie hapo.?? Hiyo pasipoti ya Tanzania ya zamani unaitumia wapi😄 Labda kama urudi kwenu mara kwa mara.Mkuu, Sidhani kama ni kosa kutumia hati ambayo sio ya kigital kama haija expire
Tusiwalaumu, maana kuna msemo unaosema kutembea nikuona mengi na kujifunza mengi. Wenzetu nchi zao zinaongozwa na standard sasa ukileta hiyo mifumo huku wengi watafukuzwa kaziTupo kwenye wakati wa AI halafu watu hawaoni umuhimu wa technology