Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu chakula kbsaMKUU AVATAR YAKO INAONGEA. SJUI KM HUPAKULIWI WEWE. Mwanaume kuchukia ndevu?
Hizo fika nazo kwa Shekhe zisomewe ALBADILI mbona tatizo dogo sana hilo ariffHabari zenu wakuu
Moja kwa moja niende kwenye mada maana kichwa cha habari kina swali nililo kusudia kuuliza
Katika maisha yangu toka Nime balehe na kuota ndevu nimekua sina raha katika maisha yangu kwani sura yote imejaa ndevu. Nilipoanza kunyoa kwa wembe ndo balaa kabisa zimekuja kua na shepu mbaya Sana na kikweli zinanikera hapa usoni kwangu
Katika kupitia masuala ya urembo nikakutana na kitu kinaitwa PLASTIC SURGERY. Hapo nikasikia habari za kubadili shepu za viungo mbalimbali. Sasa shida yangu naomben mnisaidie kama inawezekana nikafanya hiyo plastic surgery ya kuzipanga ndevu zangu zikae upande mmja....
Msaaada tafadhali
Ahsante
Inatia mashaka na kuhuzunisha
Plastic surgery ya ndevu au kichwaa..!!!Me nataka plastic surgery nirekebiahe mkao wake tuu
Sio mbaya kwakua uelewa wako ndipo ulipo ishiaKosa lete wanaume n kitu kimoja ukishafikia muda wa kubarehe epuka kunyoa ndevu zako kwa machine au wembe..maana ukishanyoa jua hapo ndo umechokaza..kuna watu wanamiaka 45 naa ila wanandevu zenye mpangilio iyo inatokana na kutumia mkasi kuzipunguza so bro a.k.a chakulaa pambana na hali yako angalia usije geuza na jinsia
Hata cheka yako tu inatia shakaHohohoho
Ahsante mkuuPlastic surgery ya ndevu au kichwaa..!!!
unajua maana ya plastic surgery na dhumuni lake..?
wewe labda useme kichwa chako kimekaa upande upande kwa hiyo ndevu zinaota kulingana na kichwa kilivyokaa...
hakuna plastic surgey ya ndevu...au kama ndevu kuna sehemu zinaota na sehemu hazioti hapo ni kawaida tu inategemea na umri, na hata ikiwa hivyo huwezi fanyiwa plastic surgery utapewa dawa tu zitajaa kichwa kizima.
kwa ushauri acha kunyoa na wembe...nenda barber shop au nunua shaving machine uwe unazinyoa vizuri....ukikuwa zaidi zitakaa sawa,
Jiamini bwana mdogo acha kuwa na mihemko ya kishamba.