Chris14
JF-Expert Member
- Oct 2, 2017
- 3,076
- 2,181
Hata jina pia mkuu [emoji3]Ngoja kwanza huyu mtoa huu uzi ni ME au KE kwa sababu avatar yake inanitia mashaka mimi nisije kumpara baharini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata jina pia mkuu [emoji3]Ngoja kwanza huyu mtoa huu uzi ni ME au KE kwa sababu avatar yake inanitia mashaka mimi nisije kumpara baharini
[emoji1] [emoji1] [emoji1]MKUU AVATAR YAKO INAONGEA. SJUI KM HUPAKULIWI WEWE. Mwanaume kuchukia ndevu?
Kuzaa Mtoto Wa Kiume Na Kumlea Ni Kazi Sana Kuliko Mtoto Wa KikeBaadae itafika muda unataka ubadilishwe jinsia ridhika na maumbile yako dogo mambo ya kipunga hayo achia wazungu huku ni tanzaniaaaa
Af we dogo mtu wa ajabu si ndo wewe umekuja juzi unatafuta namna ya kupata scholarship kusoma nje kumbe akili yako ndio hii hushindwi kurudi umejibadilisha ata jinsia , yani vijana wa sikuizi sijui mna nini aiseee , sikupatii jibu hadi sasa hivi
Embu weka picha basi ya Jinsi ulivyo hata tujue tunashauri niniZikae only kidevuni sio had I maskion