Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vema sana mkuu kwa kutoa mfano mzuri
Hata mi nimehisi kitu kama hicho, ndio maana anataka na surgeryNikiangalia avatar aliyochagua kutumia namwelewa.
Hata mi nimehisi kitu kama hicho, ndio maana anataka na surgery
We sio team "jomoni" kweli mmhHahaha
Kwann?
Hiyo sura mbona huoneshi kama unandevu?? Au Avatar umeweka sura ya mwanaume mwingine aliyekuvutia??Zikae only kidevuni sio had I maskion
Kwa kweli maana vijana wa kiume wa siku hizi ni majanga hasa hawa wa mjini, yaani anatamani hadi plastic surgeryNgoja niwaombee wanangu