Msaada wa kufanya ndevu ziote kwa mpangilio mzuri

Hizo fika nazo kwa Shekhe zisomewe ALBADILI mbona tatizo dogo sana hilo ariff
 
Kosa lete wanaume n kitu kimoja ukishafikia muda wa kubarehe epuka kunyoa ndevu zako kwa machine au wembe..maana ukishanyoa jua hapo ndo umechokaza..kuna watu wanamiaka 45 naa ila wanandevu zenye mpangilio iyo inatokana na kutumia mkasi kuzipunguza so bro a.k.a chakulaa pambana na hali yako angalia usije geuza na jinsia
 
Me nataka plastic surgery nirekebiahe mkao wake tuu
Plastic surgery ya ndevu au kichwaa..!!!

unajua maana ya plastic surgery na dhumuni lake..?
wewe labda useme kichwa chako kimekaa upande upande kwa hiyo ndevu zinaota kulingana na kichwa kilivyokaa...

hakuna plastic surgey ya ndevu...au kama ndevu kuna sehemu zinaota na sehemu hazioti hapo ni kawaida tu inategemea na umri, na hata ikiwa hivyo huwezi fanyiwa plastic surgery utapewa dawa tu zitajaa kichwa kizima.

kwa ushauri acha kunyoa na wembe...nenda barber shop au nunua shaving machine uwe unazinyoa vizuri....ukikuwa zaidi zitakaa sawa,

Jiamini bwana mdogo acha kuwa na mihemko ya kishamba.
 
Sio mbaya kwakua uelewa wako ndipo ulipo ishia
 
Ahsante mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…