Msaada wa kufanya ndevu ziote kwa mpangilio mzuri

Ilikosea kinyoa ndevu na wembe broo... Wembe unafanya ngozi ya USO kuwa yenye makunyanzi na ngumu.. Na mabaka meusi...
Tumia machine kwa utaratiibu... Mimi pia Nina ndevu nyingi sana ila no problem
 
Kafanyiwe upasuaji, ubadilishwe ngozi ya uso yaani ngozi ya usoni ichomolewe na badala yake ubandikwe ya makalioni usoni, uone kama hizo ndevu zitakusumbua tena![emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Kama Hiyo Avatar ni yako basi inaonekana kuna kitu unapika punde kitaanza kunukia kama sio kunuka
 
Nimejikuta nacheka, lazima una matatizo yaani huna marafiki au vinyozi wakueza kukusaidia mpaka ulileta hapa?
Una sura ngumu nini mpaka unajiogopa?. Kutongoza huwezi kisa ndevu au?
 
Ukienda Jela Halafu Huna Ndevu Juakuwa Unaenda Kupakuliwa
 
Ilikosea kinyoa ndevu na wembe broo... Wembe unafanya ngozi ya USO kuwa yenye makunyanzi na ngumu.. Na mabaka meusi...
Tumia machine kwa utaratiibu... Mimi pia Nina ndevu nyingi sana ila no problem
Ahsante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…