Msaada wa kuhusu bacherol of science in real estate finance and envestment

Msaada wa kuhusu bacherol of science in real estate finance and envestment

Habarini,wadau nilikuw naomben mnipe maelezo juu y hii kozi,nje iko poa kwa upande wa kuajiriwa pia kujiajiri wewe kama wewe kupitia hii kozi?
 
Habarini,wadau nilikuw naomben mnipe maelezo juu y hii kozi,nje iko poa kwa upande wa kuajiriwa pia kujiajiri wewe kama wewe kupitia hii kozi?
 
inapatikana chuo gani labda itasaidia kuielewa zaidi.
 
Ila sifa za kuingia zinatofautiana, Ardhi wanaangalia sana ufaulu wa hesabu kwa Olevel

Ila sifa za kuingia zinatofautiana, Ardhi wanaangalia sana ufaulu wa hesabu kwa Olevel
Mkuu hesabu haina shida maan nilipiga EGM form 6 nakupata div 2 mwaka 2019 ila kwa matatatizo y kifamilia sikubahatik kujiunda na chuo,ila huu mwaka ndio natak nisome
 
Mkuu hesabu haina shida maan nilipiga EGM form 6 nakupata div 2 mwaka 2019 ila kwa matatatizo y kifamilia sikubahatik kujiunda na chuo,ila huu mwaka ndio natak nisome
Jaribu kuapply
 
Mkuu hesabu haina shida maan nilipiga EGM form 6 nakupata div 2 mwaka 2019 ila kwa matatatizo y kifamilia sikubahatik kujiunda na chuo,ila huu mwaka ndio natak nisome
Nakushauri ukasome hizi kozi kama olevo ulisoma phy na chem na kupata walau D au C.

1. Architecture (ardhi au MIST).

2. Irrigation engineering (SUA)

3. Software Engineering (kama unapenda mambo ya IT, ni nzuri kwenye kujiajiri, inapatikana UDOM).

4. Hydrogeology (ni kozi ya maji ila iko specific kwenye visima, inapatikana UDOM).

NB: kama ukifanikiwa chuo chenye Civil engineering kinacho chukua watu wa EGM nenda kasome ...
 
Nenda ukawe afisa mipango miji, wenyewe wanajiita... Town planners, Country Planners, Urban Planners, City Planners, Urban Designers, na makolokolo kibao...

Ajira nyingi ni Halmashauri, manispaa, jiji, na wizara ya ardhi au board ya wataalam wa mipango miji, kuwa mkufunzi ktk vyuo vyenye hizo taaluma kama Ardhi, mipango, ardhi morogoro na tabora...

Kuna makampuni ya upimaji na mipango miji au ujiajiri ktk hiyo fani, ardhi bado IPO uitaji ni mkubwa pambana...

Kipenda roho
 
Back
Top Bottom