Msaada wa kuhusu bacherol of science in real estate finance and envestment

Msaada wa kuhusu bacherol of science in real estate finance and envestment

Sawa mkuu

Kwa wenye Diploma

Bachelor of Science in Urban and Regional Planning

Diploma or Full Technician Certificate (FTC) in Rural Development with an average of “B” or a minimum GPA of 3.0.




Kwa wanao toka kidato cha sita

Bachelor of Science in Urban and Regional Planning

Two principal passes in the following subjects:

Physics,
Chemistry,
Biology,
Advanced Mathematics,
Geography,
Economics,
Commerce or Accountancy.

In addition, an applicant must have at Mathematics or Basic Applied Mathematics at A-Level and English Language at A-Level or at least a “D” grade in English Language/
English Literature and Mathematics at O-Level.
 
Habarini,wadau nilikuw naomben mnipe maelezo juu y hii kozi,nje iko poa kwa upande wa kuajiriwa pia kujiajiri wewe kama wewe kupitia hii kozi?
Ningekushauri ufanye specialization kwenye kitu kimoja mfano kama unasoma urban soma urban tu na kama ni regional soma regional tu. Hizo kozi zinazojumuisha kozi zaidi ya moja huwa siziamini sana.
 
kwa ushauri mzuri kabisa acha na iyo kozi nenda kapige Land Survey pale Ardhi au Geo pale Udom

kwa kipindi iki maafisa Ardhi ni wengi sana
 
Ushauri wangu, hiyo hela unayotaka kwenda kusomea hiyo degree (ukizingatia kizi yenyewe huna uhakika unasoma ili nini) kawekeze kwenye biashara na komaa nayo.
 
Ushauri wangu, hiyo hela unayotaka kwenda kusomea hiyo degree (ukizingatia kizi yenyewe huna uhakika unasoma ili nini) kawekeze kwenye biashara na komaa nayo.
Mkuu, unadhani kila mtu ni mfanyabiashara?
Biashara ni kipaji kama vipaji vingine
 
Dogo chuo kikuu hakina formula. Suala lakusomani lako na career growth ni yakowewe mwenyewe na ni wewepekee ndiyo utakayewajibika na uchaguzi wako
 
Soma kitabu cha Mastery cha meandishi Robert Greene.
 
Chuo cha maendeleo na ustawi wa jamii au chuo cha mipango hombolo Dodoma
Hapana, vyuo vya maendeleo ya jamii ( mfano Tengeru) vinatoa kozi za project planning and management na sifa za kujionga kwa direct intake ni kuwa na two principal pass in either science or arts subjects
 
Habarin za mchana ndugu zangu, samahan nilikuw nauliza juu ya hii koz hapo juu, ususa katika mfumo wa ajira portal kwa hii koz imewekwa katika kipengele gani?

Je, ni land management au environment?
 
Back
Top Bottom