Msaada wa kumpata mtu aliyenitapeli

Polisi wetu uwajui Wewe, Huyo tapeli wanaweza wakampata na wasikuambie kua wamempata wakamkamua pesa na wakamuachia, kila ukifuatilia unaambiwa hajapatikana anafuatiliwa na wameshakukamua pesa hasara juu ya hasara
Nakubali hili. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama unajua maeneo mliokutana nenda police wakutizamie kwenye CCTV za serikali utampata MKUU .. laki 5 nyingi sana asikuletee upuuzi
 
Hali ni mbaya sana. Tumefika mahali ukitapeliwa ni nafuu kusamehe kuliko kufuatilia haki yako!
 
Inawezekana, because wengine wanaishia kuifanya spea baadhi ya sehemu zisizoweza kutambulika.
 
Hii siyo sehemu ya mjadala. Tunafokasi kumshauri mhanga nini afanye. Akili huna? Who solicited your troubles even?
I was answering to the victim's response. As for "akili huna?" I leave that to members to judge who between us is brainless. Check your last sentence and make corrections so we may understand what you wanted to say. Have a good day.
 
Shida lain inakuwa imesajiliwa kwa jina ambalo si lake mwizi lain alinunua ikiwaimesajiriwa, upate bahati iwe imesajiriwa jina lake
 
Exactly.... Zile recent communication ndo zitakusaidia. ... Gharama ya kutrace kwa police ni Kama 50000 hivi. ...mi nishawahi kutrace simu yangu kwa njia ya IMEI , na nikaipata ...kikubwa upate Askari mwenye ako na ubinadamu tu
Ni kweli katika 10 waweza kumpata mmoja askari wengi ni kama 👇
 
Kumbuka kuna kitambulisho cha taifa kwenye usajili
Zipo namba nyingi zinatumika bila usajili.
Watu waliokuwa wanatafutwa walisha patikana na usajili ukaishia hapo, siku hizi hakuna kiongozi anayezungumzia usajili, hata TCRA hawajui namba zilizosajiliwa.
 
Duuuh [emoji848]
 
Zipo namba nyingi zinatumika bila usajili.
Watu waliokuwa wanatafutwa walisha patikana na usajili ukaishia hapo, siku hizi hakuna kiongozi anayezungumzia usajili, hata TCRA hawajui namba zilizosajiliwa.
Tatizo ni kwamba kuna idadi kubwa ya watu ambao hawana vitambulisho vya NIDA; wakati huohuo, network providers wanataka wateja ili wapate cash kisha walipe kodi.

Sasa TCRA lazima wawalegezee network providers ili TRA iweze kuvuna mapato nchi isonge mbele.

Bila hivyo, just like Mjuzulu JYN alivyotahadharisha juzi kati hapa, nchi hakika inaelekea kupigwa mnada wa pata potea.
 
Kuna Mods wana shirikiana na hawa watu sijui ..maana kuna thread za utapeli zinafutwa
 
pole sana. nakushauri kuwa makini kwani
hizo gharama utatoa na mwizi asipatikane.
 
Nitakuona wa maana kama utamchangia mdau pesa isiyopunguwa laki mbili kwa ajili ya follow up ili muweze kuukamata huo mtandao na siyo unabwabwaja tu kama huna meno.
Hivi wewe unajua hadi sasa nimeshamsaidia kwa kiasi gani? Wengine hatujui kujishaua kama nyie vibwengo wa mapangoni.

Better yet, kipi bora kati ya kumtia moyo na kumkatisha tamaa? Don't tell me that words do not matter. Shame on you! Usipite pale mtaani kwetu leo because lazima nikuzomee hadi ukose nguvu ya kwenda job kesho. Mshamba nini?
 
Samehe hiyo laki 5 ila kama unauwezo wa kuitafuta laki 5 kwa gharama za million endelea kitafuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…