Msaada wa kumpata mtu aliyenitapeli

Msaada wa kumpata mtu aliyenitapeli

Polisi wetu uwajui Wewe, Huyo tapeli wanaweza wakampata na wasikuambie kua wamempata wakamkamua pesa na wakamuachia, kila ukifuatilia unaambiwa hajapatikana anafuatiliwa na wameshakukamua pesa hasara juu ya hasara
Nakubali hili. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
1643105247118.png
 
Hakuna tapeli anayetumia namba yake aliyosajili kwa ID yake.

Ingekuwa ni hivyo basi wale matapeli wanaopigia watu simu na kujifanya ni Tigo customer care wasingekuwepo.

Mimi huwa haipiti mwezi lazima wanipigie kwa namba tofauti nimeripoti tigo mpaka sasa nimechoka, wakinipigia wanakoga matusi ya kutosha na wao wanarudishia matusi halafu unawauliza wewe ndio customer care? Mimi mwenyewe natafuta mtu wa kumtapeli saa hizi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama unajua maeneo mliokutana nenda police wakutizamie kwenye CCTV za serikali utampata MKUU .. laki 5 nyingi sana asikuletee upuuzi
 
Hali ni mbaya sana. Tumefika mahali ukitapeliwa ni nafuu kusamehe kuliko kufuatilia haki yako!
 
Hiyo ni kweli aisee, Mie mwenyewe mwaka jana niliibiwa smartphone, nilvoenda polis nikakamuliwa 60,000 alafu baada ya hapo kila nikiulizia naambiwa mwizi hajawahi kupatikana, kwamba hajahi kuingiza cm hewani, huu ni uwongo mwizi gani wa kuiba cm alafu aishie kutunza ndani? najutia kwenda polis maana niliingia hasara zaidi!
nashauri serikali ingeruhusu wananchi kujitafutia cm wao wenyewe pindi wanapoibiwa wakishampata mwizi ndipo polis wataarifiwe! Huu utaratiu wa sasa unatoa mwanya kwa polis kupiga pesa bnadala ya kutoa msaada!
Inawezekana, because wengine wanaishia kuifanya spea baadhi ya sehemu zisizoweza kutambulika.
 
Hii siyo sehemu ya mjadala. Tunafokasi kumshauri mhanga nini afanye. Akili huna? Who solicited your troubles even?
I was answering to the victim's response. As for "akili huna?" I leave that to members to judge who between us is brainless. Check your last sentence and make corrections so we may understand what you wanted to say. Have a good day.
 
Una hakika namba hiyo ilisajiliwa kwa jina lake? Lakini pia, wanaweza (mamlaka husika) kufuatilia kujua before hiyo namba ilikuwa ikiwasiliana na nani, then kutoka hapo itajulikana nani aliwahi kutumia namba iliyohusika kukutapeli wewe.

Don't give up! Kumbuka hata ukitumia gharama kubwa, akipatikana mhalifu atazilipa zote.

Usiwasikilize wengine humu, huenda ni walewale matapeli na ndio wanakukatisha tamaa ili kuulinda mtandao wao.
Shida lain inakuwa imesajiliwa kwa jina ambalo si lake mwizi lain alinunua ikiwaimesajiriwa, upate bahati iwe imesajiriwa jina lake
 
Exactly.... Zile recent communication ndo zitakusaidia. ... Gharama ya kutrace kwa police ni Kama 50000 hivi. ...mi nishawahi kutrace simu yangu kwa njia ya IMEI , na nikaipata ...kikubwa upate Askari mwenye ako na ubinadamu tu
Ni kweli katika 10 waweza kumpata mmoja askari wengi ni kama 👇
 
Ni kweli katika 10 waweza kumpata mmoja askari wengi ni kama [emoji116]
Duuuh [emoji848]
 
Zipo namba nyingi zinatumika bila usajili.
Watu waliokuwa wanatafutwa walisha patikana na usajili ukaishia hapo, siku hizi hakuna kiongozi anayezungumzia usajili, hata TCRA hawajui namba zilizosajiliwa.
Tatizo ni kwamba kuna idadi kubwa ya watu ambao hawana vitambulisho vya NIDA; wakati huohuo, network providers wanataka wateja ili wapate cash kisha walipe kodi.

Sasa TCRA lazima wawalegezee network providers ili TRA iweze kuvuna mapato nchi isonge mbele.

Bila hivyo, just like Mjuzulu JYN alivyotahadharisha juzi kati hapa, nchi hakika inaelekea kupigwa mnada wa pata potea.
 
Kuna Mods wana shirikiana na hawa watu sijui ..maana kuna thread za utapeli zinafutwa
 
Nitakuona wa maana kama utamchangia mdau pesa isiyopunguwa laki mbili kwa ajili ya follow up ili muweze kuukamata huo mtandao na siyo unabwabwaja tu kama huna meno.
Hivi wewe unajua hadi sasa nimeshamsaidia kwa kiasi gani? Wengine hatujui kujishaua kama nyie vibwengo wa mapangoni.

Better yet, kipi bora kati ya kumtia moyo na kumkatisha tamaa? Don't tell me that words do not matter. Shame on you! Usipite pale mtaani kwetu leo because lazima nikuzomee hadi ukose nguvu ya kwenda job kesho. Mshamba nini?
 
Samehe hiyo laki 5 ila kama unauwezo wa kuitafuta laki 5 kwa gharama za million endelea kitafuta
 
Back
Top Bottom