pascal luoga
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 233
- 264
- Thread starter
- #41
Sawa shukranIn short, tumia mbinu mbalimbali. Tumia watu mbalimbali wanaoaminika. Initiate at least five different strategic experts katika kufuatilia suala lako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa shukranIn short, tumia mbinu mbalimbali. Tumia watu mbalimbali wanaoaminika. Initiate at least five different strategic experts katika kufuatilia suala lako.
Hakuna tapeli anayetumia namba yake aliyosajili kwa ID yake.Ila sasa si kuna mambo ya nida pia kwa sasa pia niombee Mungu kwamba awe na number ambazo alijaribu kuwasiliana nao ndo utakuwa unafuu kwangu
Pole Sana ...chukulia Kama funzo na songa mbele utapata zaidiHabari wakuu pia poleni kwa majukumu na migangaiko ya kila siku.
Dhumuni la kuleta uzi huu ni kwamba siku ya juzi Jumapili, niliweza kutapeliwa pesa na mtu ambaye nilikutana naye kwa ajili ya biashara ndipo aliweza kunitapeli karibu laki 5 taslim, kwa sura huyo mtu namfahamu na ilikuwa ni mara yangu ya kwanza kukutana naye na kuna number alitumia kunitafuta ambayo iliweza kupatikana hiyo juzi na jana ila leo haipatikani, kesi ya huyo mtu iko central police
SWALI JE.
Huyo mtu anaweza kupatikana kwa kupitia hiyo namba ya simu kana kwamba juzi na jana ilikuwa hewani ila leo haipatikani?
Nimefuatilia Polisi wamesema wako kwenye utaratibu wa kufuatilia hiyo number. Na kuna gharama za kutoa kwenye ishu kama hiyo .
Swali je?
KUNA ALIYEWAI KUMPATA MTU AMA MTUHUMIWA WAKE KWA KUPITIA NUMBER YA SIMU?
MWENYE experience naomba aweze kunieleza kama alifanikiwa na ilikuwaje?
Pole sana. Mimi kawaida yangu simuamini mtu ambaye simfahamu kabisa na kibaya zaidi anaonekana kunichangamkia ghafla.Mkuu sikufichi hakuna anayejua ya mbele, na wakati tatizo hili linapotaka kutokea au unapokuwa na tapeli kuna roho inakwambia kwamba huyu ni tapeli ila kuna nyingine inakuwa inataka kupingana nayo, yani roho zinakuwa 50% kwa 50% hivyo unashindwa kujua kwamba ipi inakwambia ukweli, kikubwa nilichochukuliwa ni mzigo una thaman ya laki 5, alinipigia simu nimpelekee yuko sinza kufika nikamkuta ofisini kwa mazingira anayoyatengeneza huyo mtu ni kujifanya kama anauzoefu sana na anajuana ama ni mwenyeji wa hapo ofisini nilivyokutana naye tukafanya mazungumzo mzigo ikabidi tuuhifadhi hapo ofisini ili twende tukachukue ela, tukatoka kama meter 300 na hapo ofisini tukafika mpk benk akaingia sehem ndani ya hyo bank akasema nimsubiri, machale yakanicheza wakat anaingia tu hyo sehem me nikasema nirudi nikauwai mzigo yawezekana huyu ni tapeli sababu kwann anaagiza mzigo na pesa hajajipanga , nikatoka haraka sana kwenda kuuwai mzigo, kumbe yeye alijipanga alivyotoka tu mlango mwingine alikuwa na pikpik akaenda kuchukua mzigo na piki piki kilichonifanya niukose ni kwamba mimi nilikuwa natembea sababu meter 300 sio mbali, kufika naambiwa kaondoka sasahv na pikipiki na hawamfahamu ila tu alionesha kuwachangamkia pale ofisini mpk wakawa wanamshangaa..... ndo nilikosa mzigo kwa namba hiyo
Hio namba angalia mapema imesajiliwa kwa majina yapi maana usajili huwa unafutwa baada ya siku 2-3Ila sasa si kuna mambo ya nida pia kwa sasa pia niombee Mungu kwamba awe na number ambazo alijaribu kuwasiliana nao ndo utakuwa unafuu kwangu
SawaHio namba angalia mapema imesajiliwa kwa majina yapi maana usajili huwa unafutwa baada ya siku 2-3
Exactly.... Zile recent communication ndo zitakusaidia. ... Gharama ya kutrace kwa police ni Kama 50000 hivi. ...mi nishawahi kutrace simu yangu kwa njia ya IMEI , na nikaipata ...kikubwa upate Askari mwenye ako na ubinadamu tuIla sasa si kuna mambo ya nida pia kwa sasa pia niombee Mungu kwamba awe na number ambazo alijaribu kuwasiliana nao ndo utakuwa unafuu kwangu
Hii siyo sehemu ya mjadala. Tunafokasi kumshauri mhanga nini afanye. Akili huna? Who solicited for your troubles even?Pole sana. Mimi kawaida yangu simuamini mtu ambaye simfahamu kabisa na kibaya zaidi anaonekana kunichangamkia ghafla.
This is really helpful for him.Exactly.... Zile recent communication ndo zitakusaidia. ... Gharama ya kutrace kwa police ni Kama 50000 hivi. ...mi nishawahi kutrace simu yangu kwa njia ya IMEI , na nikaipata ...kikubwa upate Askari mwenye ako na ubinadamu tu
Unataka uendelee kutapeliwa tena? huyo hatapatikana,labda kama ungesema alikuwa na Bunduki,basi polisi wangempata kwa sababu ya hiyo silaha.ila laki 5 yako siyo kitu kikubwa sana.unaweza kuombwa za mafuta ndogo ndogo mpaka ikafika laki 4 zingine.so ukiipata hiyo lak 5 inakuwa na thamani ya laki 1Habari wakuu pia poleni kwa majukumu na migangaiko ya kila siku.
Dhumuni la kuleta uzi huu ni kwamba siku ya juzi Jumapili, niliweza kutapeliwa pesa na mtu ambaye nilikutana naye kwa ajili ya biashara ndipo aliweza kunitapeli karibu laki 5 taslim, kwa sura huyo mtu namfahamu na ilikuwa ni mara yangu ya kwanza kukutana naye na kuna number alitumia kunitafuta ambayo iliweza kupatikana hiyo juzi na jana ila leo haipatikani, kesi ya huyo mtu iko central police
SWALI JE.
Huyo mtu anaweza kupatikana kwa kupitia hiyo namba ya simu kana kwamba juzi na jana ilikuwa hewani ila leo haipatikani?
Nimefuatilia Polisi wamesema wako kwenye utaratibu wa kufuatilia hiyo number. Na kuna gharama za kutoa kwenye ishu kama hiyo .
Swali je?
KUNA ALIYEWAI KUMPATA MTU AMA MTUHUMIWA WAKE KWA KUPITIA NUMBER YA SIMU?
MWENYE experience naomba aweze kunieleza kama alifanikiwa na ilikuwaje?
Labda loss report🤣
Wakati unaendelea na mchakato wa kumtafuta mbaya wako, basi ungetusimulia na sisi namna ulivyo tapeliwa! Ili na sisi Watanzania wenzako tupate somo.Habari wakuu pia poleni kwa majukumu na migangaiko ya kila siku.
Dhumuni la kuleta uzi huu ni kwamba siku ya juzi Jumapili, niliweza kutapeliwa pesa na mtu ambaye nilikutana naye kwa ajili ya biashara ndipo aliweza kunitapeli karibu laki 5 taslim, kwa sura huyo mtu namfahamu na ilikuwa ni mara yangu ya kwanza kukutana naye na kuna number alitumia kunitafuta ambayo iliweza kupatikana hiyo juzi na jana ila leo haipatikani, kesi ya huyo mtu iko central police
SWALI JE.
Huyo mtu anaweza kupatikana kwa kupitia hiyo namba ya simu kana kwamba juzi na jana ilikuwa hewani ila leo haipatikani?
Nimefuatilia Polisi wamesema wako kwenye utaratibu wa kufuatilia hiyo number. Na kuna gharama za kutoa kwenye ishu kama hiyo .
Swali je?
KUNA ALIYEWAI KUMPATA MTU AMA MTUHUMIWA WAKE KWA KUPITIA NUMBER YA SIMU?
MWENYE experience naomba aweze kunieleza kama alifanikiwa na ilikuwaje?
Kama alisajiriwa je? Huwazi hilo?Kumbuka kuna kitambulisho cha taifa kwenye usajili