Msaada wa kupata eneo zuri la biashara ya uwakala wa benki Iringa Mjini

jian

Member
Joined
Apr 2, 2020
Posts
17
Reaction score
14
Habari zenu wakuu, msaada wa eneo zuri kwa ajili ya kufanya biashara ya uwakala wa benki kwa hapa Iringa Mjini. Kama wanaoufahamu mji vizuri ni wapi naweza pata eneo na pakavutia hii biashara. Asante. PM iko wazi pia!!
 
Nje ya mada hivi Iringa kuna bebezi kali kweli?
 
Habari zenu wakuu, msaada wa eneo zuri kwa ajili ya kufanya biashara ya uwakala wa benki kwa hapa Iringa Mjini. Kama wanaoufahamu mji vizuri ni wapi naweza pata eneo na pakavutia hii biashara. Asante. PM iko wazi pia!!
Fanya utafiti mwenyewe mkuu .
Zingatia mzunguko wa watu pia aina ya watu wenyewe
 
Habari zenu wakuu, msaada wa eneo zuri kwa ajili ya kufanya biashara ya uwakala wa benki kwa hapa Iringa Mjini. Kama wanaoufahamu mji vizuri ni wapi naweza pata eneo na pakavutia hii biashara. Asante. PM iko wazi pia!!
Iringa stand ya zaman pale ndo Pana watu
 
Mkuu.Centre nzuri ni mitaa ya Miyomboni,Uhindini,Mshindo,Barabara ya kulekea Dom kuanzia highland,garden,RUCU mpk kihesa.
 
Wanyalukolo binti yetu huyu
Screenshot_20220619-193019.jpg
 
Back
Top Bottom