BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
NIDA ni taasisi ya kupuuzi san, Wageni walio jipenyeza Tanzania wote wana Hardcopy ya vitambulisho walivyo pewa na wafanya kazi wa NIDA, yaani ni Wadanganyika tu ndio hawatengenezewi vitambulisho, Mwezi ulio pita nilipigwa vutwaa kukuta rafiki yangu Mkenya anakitambulisho cha NIDA wakati mimi nina nunber tu.Nahitaji online copy ya kitambulisho cha Taifa, anayejua naomba muongozo tafadhali.
Sent from my 2107113SG using JamiiForums mobile app