BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
NIDA ni taasisi ya kupuuzi san, Wageni walio jipenyeza Tanzania wote wana Hardcopy ya vitambulisho walivyo pewa na wafanya kazi wa NIDA, yaani ni Wadanganyika tu ndio hawatengenezewi vitambulisho, Mwezi ulio pita nilipigwa vutwaa kukuta rafiki yangu Mkenya anakitambulisho cha NIDA wakati mimi nina nunber tu.Nahitaji online copy ya kitambulisho cha Taifa, anayejua naomba muongozo tafadhali.
Sent from my 2107113SG using JamiiForums mobile app
Namba inahitajika iambatane na sura Mzee kipusaKitambulisho cha nini Ndugu? Kwani namba ya NIDA haikutoshi?
We nae bhana!!! Msumbufu sana we jamaa! View attachment 2645444
Watu wengi wamenyanyasika katika hili eneo [emoji24][emoji24]NIDA... Duh
Walikosea majina yangu , nikalalamika wakasema nilipie elfu 20 ,, nilipolipa nikmekaa mpaka Leo mwaka wa 3 wananizungusha
Issue ni very simple huwa hao watu wana link na watu wa mitandao,bank,police ukimpa no yako yeye anaingiza kupitia sehemu mojawapo ya hizo tajwa kwa maana wanampa access then anawatoa au anawatumia no yako hao wahusika then wao wanamtumia soft copy hyo then mkimaliza wao wanagawana pasu pasuHivi wale wanaotangaza kutoa softcopy za NIDA wanazitoa wapi ? Wanafanyaje wale?