Msaada wa kupata Pasi ya kusafiria

Msaada wa kupata Pasi ya kusafiria

Habari za muda huu wadau.

Nina uhitaji wa kuwa na hati ya kusafiria, velelezo vyote vinavyohitajika katika kujaza fomu ninanvyo kasoro hicho moja nambari sita. Je, nawezaje kupata passport pasipo hicho kielelezo namba 6.
Screenshot_20221026-100707-01.jpeg
 
Unafanya shughuli gani? (Biashara/mwajiriwa nk)jibu kwanza halafu nikupe mbinu.
 
Pole mkuu pambana maana haya ni matokeo ya kuishi in a pithole country, hapo ulitakiwa uwe na no 3 tu ili kupata passport na hati hii ni haki ya kila Mtanzania regardless anasafiri au hasafiri katiba mpya ni muhimu
 
Maswali mbona ya kawaida sana tu.

Weka kazi unayofanya ilimradi iwe na kipato cha halali
 
Pitia huu uzi kwa msaada zaidi...
 
Hawazingatii kabisa kuhusu safari
Wanazingatia zaidi uraia, uraia wa wazazi na serikali za mtaa au barua ya mwajiri
 
Pitia huu uzi kwa msaada zaidi...
Asante kwa muongozo
 
Mzee hilo jambo rahisi sana we ukifika pale uhamiaji jiongeze tu tafuta mtu mpoze unaipata haraka bila zengwe
 
Tafuta hela hakuna linaloshindikana.... mimi passport nilitumia siku 2 tu nkaipata ila wengine hutumia wiki 1 mpka 2 kuipata

My note:
TUTAFUTE HELA
 
Habari za muda huu wadau.

Nina uhitaji wa kuwa na hati ya kusafiria, velelezo vyote vinavyohitajika katika kujaza fomu ninanvyo kasoro hicho moja nambari sita. Je, nawezaje kupata passport pasipo hicho kielelezo namba 6. View attachment 2398204
Nataka kuuliza ni lazima uwe na vyote ama kinahitajika kimoja kati ya hivyo??
 
Ukiwa na laki 3 unusu unaweza usiulizwe hata jina la wazazi [emoji851][emoji851]
 
Back
Top Bottom