jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,329
- 25,263
Sasa wamekupa dawa za nini na wakati umesema wamekwambia hakuna shida yoyote?Ni hospital ya wilaya nimepewa Cipro na diclopa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa wamekupa dawa za nini na wakati umesema wamekwambia hakuna shida yoyote?Ni hospital ya wilaya nimepewa Cipro na diclopa
Hii ni urine dip stickHiki kipimo kinaitwaje?
View attachment 2814626
Nilitaka kumwambia hivyo hivyo lakini hajasema kama kuna usaa unatoka.Nikiwa na taaluma yangu ndogo tu ya sayansi... Hilo ni SWENDE MKUU ama Syphilis kimombo
Unaweza kunitajia parameter zilizopo kwenye Urine dip stick,Hii ni urine dip stick
hii kitu inaanza kujionyesha baada ya siku ngapi...?Nikiwa na taaluma yangu ndogo tu ya sayansi... Hilo ni SWENDE MKUU ama Syphilis kimombo
NdioUnaweza kunitajia parameter zilizopo kwenye Urine dip stick,
Kaswende dalili zake kuu huanza kidogo kidogo saana na muwasho ambao ukijikuna unahisi raha....hii kitu inaanza kujionyesha baada ya siku ngapi...?
Katika hizo unazo zijua,Hakuna reporting ya Blood kwenye Urine dip stick?Ndio
Ukisoma vizuri nilibold chini hakuna kipimo kinaitwa blood Kikasoma negative ... by the way hii dipstick inapima liquid approximations ndani ya hizi parameters ndio kuna protein,leukocytes n.k....... Ni kipimo kilichokuwa Mapungufu mengi kimebaki kupimia UTI tuKatika hizo unazo zijua,Hakuna reporting ya Blood kwenye Urine dip stick?
Aisee tupige stakafiru. Pia niliwahi chomwa kipindi fulani nilipata hala inafanana/au ilikua koronaNdio lisindano la wazinzi
Kwani hapo kwenye hiyo ripoti umeona kuna kipimo kinaitwa blood??Ukisoma vizuri nilibold chini hakuna kipimo kinaitwa blood Kikasoma negative ... by the way hii dipstick inapima liquid approximations ndani ya hizi parameters ndio kuna protein,leukocytes n.k....... Ni kipimo kilichokuwa Mapungufu mengi kimebaki kupimia UTI tu
blood ni just a sample......Doctor Hawezi andika ukapime damu....yaani ukapimaje inamaambukizi? au wingi wa damu,au group la damu kwa sababu ile ni sample kinachopimwa ni vilivyomo ndani
Labda kidogo full bood picture lakini nayo inagoma sababu mle huwezi ona maambukizi
Dogo acha kujitibu mwenyewe. Unaweza kuwa una tatizo jingine kabisa linalohitaji dawa nyingine kabisa. Usikubali kuufanya mwili wako kuwa wa majaribio. La muhimu ni wewe kwenda hospital inayoeleweka na kumweleza dr, ufanye vipimo ndiyo ajue utafanya nini.Naomba kwa anayejua dawa nyingine tofauti na nilizopewa Mana nimepewa Cipro na diclopa
Hapo chini alipoandika blood neg nikikwambie unidefinie unaweza? Alimaanisha nnKwani hapo kwenye hiyo ripoti umeona kuna kipimo kinaitwa blood??
Kipimo alichopima ni Urine analysis ambacho kimetazama vitu mbalimbali ndani ya mkojo na kwenye mkojo ripoti inaonyesha hakuna blood.
Naombeni msaada please
Ameketa umbea tu kuwa alikula demu mchafu
atafutesipro na proxinSasa unataka nini?