Msaada wa matibabu ya STD

Msaada wa matibabu ya STD

Uasherati na uzinzi ni uchafu, wala msiukaribie.

Mgonjwa ya zinaa ndiyonchanzo kikuu cha kushindwa kuzalisha mbegu za kiume zrnye ubora. Sahau kupata watoto, subiri ubambikiwe watoto, ulee watoto wa jirani zako tu, ikiwa utapona.

Kapimwe na ukimwi.
 
hii kitu inaanza kujionyesha baada ya siku ngapi...?
Kaswende dalili zake kuu huanza kidogo kidogo saana na muwasho ambao ukijikuna unahisi raha....

Dalili zake ni ngumu sana kujionyesha... Kwenye hatua za awali....

Ni kuiwahi kwenye hizi hizi hatua za awali... Ukichelewa! Kaswende ni ugonjwa mbaya sana afadhali ya ukimwi!....

Maana inaathiri mpaka ubongo na nguvu za kiume(uwezo wa kutungisha mimba) Unatoweka!
 
Katika hizo unazo zijua,Hakuna reporting ya Blood kwenye Urine dip stick?
Ukisoma vizuri nilibold chini hakuna kipimo kinaitwa blood Kikasoma negative ... by the way hii dipstick inapima liquid approximations ndani ya hizi parameters ndio kuna protein,leukocytes n.k....... Ni kipimo kilichokuwa Mapungufu mengi kimebaki kupimia UTI tu

blood ni just a sample......Doctor Hawezi andika ukapime damu....yaani ukapimaje inamaambukizi? au wingi wa damu,au group la damu kwa sababu ile ni sample kinachopimwa ni vilivyomo ndani

Labda kidogo full bood picture lakini nayo inagoma sababu mle huwezi ona maambukizi
 
Kwani hapo kwenye hiyo ripoti umeona kuna kipimo kinaitwa blood??

Kipimo alichopima ni Urine analysis ambacho kimetazama vitu mbalimbali ndani ya mkojo na kwenye mkojo ripoti inaonyesha hakuna blood.
 
Naomba kwa anayejua dawa nyingine tofauti na nilizopewa Mana nimepewa Cipro na diclopa
Dogo acha kujitibu mwenyewe. Unaweza kuwa una tatizo jingine kabisa linalohitaji dawa nyingine kabisa. Usikubali kuufanya mwili wako kuwa wa majaribio. La muhimu ni wewe kwenda hospital inayoeleweka na kumweleza dr, ufanye vipimo ndiyo ajue utafanya nini.
 
Kwani hapo kwenye hiyo ripoti umeona kuna kipimo kinaitwa blood??

Kipimo alichopima ni Urine analysis ambacho kimetazama vitu mbalimbali ndani ya mkojo na kwenye mkojo ripoti inaonyesha hakuna blood.
Hapo chini alipoandika blood neg nikikwambie unidefinie unaweza? Alimaanisha nn
 
Naombeni msaada please

Mkuu umeenda hospitali, umepima na majibu umeandkiwa lakini mwisho wa siku waja JF?

Kwani hospitali daktari aliyekuhudumia alikueleza shida ipo wapi?
 
Back
Top Bottom