Zeemadeit
JF-Expert Member
- Oct 16, 2020
- 830
- 1,673
Habari! Kuna eneo nmeoneshwa na rafiki angu bei nzuri kdogo. Sina uzoefu na ujenzi (sijawah kujenga).
Baada ya kupaona kama sijaridhika napo japo bei ni nzuri . Nahofia kuna uwezekano pakawa panajaa maji. Wamenihakikishia kua hakuna kitu hicho ila najua tu ni lugha ya biashara.
Picha hizo ila sikupiga vzuri sana. Picha ya pili hapo karibu na miti ya mwembe ndio eneo lipo.