Kama ni bondeni hapafai zikija mvua kubwa imekula kwakoHabari! Kuna eneo nmeoneshwa na rafiki angu bei nzuri kdogo. Sina uzoefu na ujenzi (sijawah kujenga).
Baada ya kupaona kama sijaridhika napo japo bei ni nzuri . Nahofia kuna uwezekano pakawa panajaa maji. Wamenihakikishia kua hakuna kitu hicho ila najua tu ni lugha ya biashara.
Picha hizo ila sikupiga vzuri sana. Picha ya pili hapo karibu na miti ya mwembe ndio eneo lipo.
Hapana sio nia yangu hio.
Hizo ni gharama za kujitakia afate ushauri huu hapo juu👆Mkuu tafuta Surveyor akuchekie kwa uhakika zaidi.
Kwa macho ya kawaida unaweza ukaona kiko poa ila mvua ikinyesha ikawa ni mkondo wa maji.
Kama pamepimwa wewe jengaHabari! Kuna eneo nmeoneshwa na rafiki angu bei nzuri kdogo. Sina uzoefu na ujenzi (sijawah kujenga)...
DuhKama ni bondeni hapafai zikija mvua kubwa imekula kwako
Ahsante sana nitafanya hivyoWenzako huwa tunafanya hivi....umewaona hao majirani hapo?sasa jifanye kama unaenda kuomba maji ya kunywa then itumie hiyo nafasi kuuliza juu ya uwepo wa maji eneo hilo au rudi siku nyingine kmy kmy uwaulize majirani na viongozi wa mtaa ndivyo huwa tunafanya.
Jenga upesi nyanyua msingi juu. OverPamepimwa
Habari! Kuna eneo nmeoneshwa na rafiki angu bei nzuri kdogo. Sina uzoefu na ujenzi (sijawah kujenga).
Baada ya kupaona kama sijaridhika napo japo bei ni nzuri . Nahofia kuna uwezekano pakawa panajaa maji. Wamenihakikishia kua hakuna kitu hicho ila najua tu ni lugha ya biashara.
Picha hizo ila sikupiga vzuri sana. Picha ya pili hapo karibu na miti ya mwembe ndio eneo lipo.
View attachment 2474502View attachment 2474503
Nunua kiwanja wakati wa masika, utakuja kunishukuru baadaeHapana sio nia yangu hio.
Umemaliza kila kitu.Nunua kiwanja wakati wa masika, utakuja kunishukuru baadae