Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo rahisi hivyo kuchukulia mkopo kwa dhamana ya shamba..Brother chukua hiyo hela nenda sehemu ambayo haijachangamka kama kiwangwa ama chanika..nunua shamba kwa say 10m, lirasimishe kisha chukua hati peleka bank, vuta pesa ndefu, fanya maisha siku moja utaniahukuru.
Chukua Mil 50 ununue bajaji 2 na gari aina ya IST 1 ufanye biashara ya usafiri ikiwemo uber, bolt nk.
Baada ya miaka 3 tu, utakuwa ushamaliza deni na biashara yako inaendelea kama kawa.
lakini si unajua barabara zetu bongo hiyo kununua bajaji na Ist tena kwa pesa ya mkopo mbona risk sana maana barabarani akila mzinga wa ajali maana bararani huendeshi peke yako ww unaweza kuwa makini na nidhamu ila wenzio sasa kila mtu na umakini wake pesa ya mkopo Haifai kuwekeza bararani labda uwe na back up.Chukua Mil 50 ununue bajaji 2 na gari aina ya IST 1 ufanye biashara ya usafiri ikiwemo uber, bolt nk.
Baada ya miaka 3 tu, utakuwa ushamaliza deni na biashara yako inaendelea kama kawa.
Malizia bro..... Na mdudu a.k.a VVU +UTI + Gono sugu juu.Unataka umpeleke uwanja wa fisi akalale na ile mishugamami alaf asubuhi yake aamke hana hata ndala wala suruali ya kuvaa 🤣🤣🤣
kweli kabisa riba ikiwa ndogo maana yake hata rejesho la mkopo pia ni dogo hivyo makato ni miaka mingi mfano million 50 baada ya miaka 5 unarudisha hata million 85 au zaidi wakopeshaji wajanja wao wanacheza na mda wa miaka ya kurudisha mkopo wanakata rejesho dogo kwa riba kidogo kwa miaka mingi mwisho mkopaji unarudisha mara tatu ya hela uliyokopa.!ukiona unapata mkopo mkubwa halafu riba ni nafuu sana just jitafari sana kuna kitu kinakuwa hakipo sawa hapo
Nukuu: "Usikope kwa sababu unakopesheka".Usikope kwa sababu unakopesheka.
Location. Nipo Tubuyu morogoro
mwana inabidi akae chini na kutafakari sanakweli kabisa riba ikiwa ndogo maana yake hata rejesho la mkopo pia ni dogo hivyo makato ni miaka mingi mfano million 50 baada ya miaka 5 unarudisha hata million 85 au zaidi wakopeshaji wajanja wao wanacheza na mda wa miaka ya kurudisha mkopo wanakata rejesho dogo kwa riba kidogo kwa miaka mingi mwisho mkopaji unarudisha mara tatu ya hela uliyokopa.!
Mfano wako ni mzuri na ulichoandika kinaweza kutokea anytimes kutokana na majanga ya barabara zetu. Ila tukiachana na mambo ya ajali, hiyo ya kununua chombo cha usafiri ingeweza kumsaidia kurudisha mkopo wake kwa muda mfupi ukilinganisha sijui na hayo maswala ya kununua nyumba nk.lakini si unajua barabara zetu bongo hiyo kununua bajaji na Ist tena kwa pesa ya mkopo mbona risk sana maana barabarani akila mzinga wa ajali maana bararani huendeshi peke yako ww unaweza kuwa makini na nidhamu ila wenzio sasa kila mtu na umakini wake pesa ya mkopo Haifai kuwekeza bararani labda uwe na back up.
Sasa hapo si anakuwa na mikopo miwili mkuu...?Brother chukua hiyo hela nenda sehemu ambayo haijachangamka kama kiwangwa ama chanika..nunua shamba kwa say 10m, lirasimishe kisha chukua hati peleka bank, vuta pesa ndefu, fanya maisha siku moja utaniahukuru.
Shamba anawatelekezea bankSasa hapo si anakuwa na mikopo miwili mkuu...?
Kumbuka baada ya miaka mitano atakuwa na nyumba yake na makato hayatokuwepo na thamani ya nyumba itakuwa imepanda ila akiendelea kulipa kedi kwa kupanga baada ya miaka mitano familia atakuwa nayo na ataitaji alıpe kedi zaidiPesa ya kodi ndio hiyo atakayokuwa anayokatwa kwemye mshahara kwa ajili ya mkopo aliochukua.
So utaona kwamba ukijenga na ukipanga ni kama vitu vinaendana hivi na tofauti ni ndogo