roselina john
JF-Expert Member
- Aug 17, 2017
- 758
- 945
Habari ndugu zangu,
Ninawasalimu kwa jina lake bwana wetu
Nimejaliwa kukusanya shilling 5M kutokana na nilivyokuwa najikusanya kwenye kimshahara changu kwa mwaka sasa,
Naona maisha ya kuajiriwa siyo,
Nikaamua niwaze kuanza uuzaji wa mchele kutoka mbeya au Ifakara,
Nataka niende Jumamosi kukusanya mchele na kuleta dar es salaam ningeomba mnisaidie wajuzi wa masuala haya kwa ushauri na changamoto za kukusanya mchele, nitumie mbinu gani kupata mchele safi,
Nina mwenyeji wangu katika masuala haya ila sasa sitaki kuonekana sina idea kabisa,
Naomba kujua haya,
A. Gunia linauzwaje?
B. Gharama za kusafirisha?
C. Wasafirishaji wanakuwa sehemu husika au tunasaka?
D. Gharama za Njian za mizani na ushuru mbalimbali.
E. Gharama za kukusanya nazo zikoje?
Naombeni mawazo yenu