Sasso
JF-Expert Member
- Aug 9, 2023
- 825
- 3,077
Wakuu, natumai mko vyema, na kama kuna mwenye madhila Mwenyezi Mungu ampe faraja.
To make a long story short, nilikua niko mkoa X for the long good six years nikiwa nimeajiriwa kwenye miradi lakini nikiwa nafanya ujasiriamali wa ufugaji (Tanga Region). Kufuga, kutotolesha, kuuza mayai, kuuza kuku wa nyama etc.
Bahati mbaya mambo ya familia yakazingua (story for another day) na nmetoka mkoa huo na bado najiona nina na ni kitu ambacho nina passion nacho na pia ni mbobevu.
For the time being nahitaji kuhama kuanza sehemu nyingine, mkoa mwingine. From the scratch, nna mtaji wa kuanzia mzuri for either partnership au kwa mtu atakayenipa mawazo mazuri. Tutaongea
Naomba nicheki inbox kwa chochote unachoweza nishauri. Tuongee tuone uwezekano ambao upo.
NB: I am not desperate, ninaangalia fursa zilizoko
Asante in advance